KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Hizo ni myth TU na huwa nashukuru mno maana zinatufanya tupae sana kiufupi MWANZA na Mikoa YOTE Kanda ya ziwa Iko Vizuri mnoMkuu Mwanza kuwa na watu wengi so kwamba watu wanamove kutoka mikoa kuja Mwanza ..kwa inavojulikana tz nzima nikuwa ni wasukuma kuzaa bila uzazi wa mpango hilo liko wazi na Mwanza ni mikoa kati ya watu wake wanayoishi kwenye umaskini mkubwa huku watu wachache kujilimbikizia Mali hilo ni tofauti na Arusha