Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Halafu jitahid kufikiri maghorofa siyo ya Jiji Bali ni mkoa mzima Sasa sisi hayo yote uliyoona ni ya Jiji maana wilaya zetu za nje na Jiji hazina bado maghorofa
 
Narua Spring ni ya serikali?,Impala je? , Leopard ni ya serikali? ,parot hotel ni ya serikali? Yote nilokutajia Yana flrs 12,13,14,15 .

Tuje Mwanza nitajie Majengo marefu ambayo yamejengwa na watu binafsi
Tuma picha zake
 
Arusha imeijambia tena Mwanza kwenye investments πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

 
Taja na idadi ya Miradi bas ...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2563022

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ We Jamaa bwana Kwa kujifariji hujambo..

Sasa idadi ya miradi ndio inakusaidia nini? GDP inapima idadi ya miradi au value ya miradi? πŸ˜€πŸ˜€

Kubaki umekojolewa na Arusha no way out ,Mwanza ni mtoto mdogo sana Kwa Arusha.
 
Ko hapo arusha imeizidi mwanza GDP .[emoji1787][emoji1787][emoji1787],,,,, Idadi kubwa ya miradi ni kuonyesha kiwango Cha makampuni yanayowekeza katika eneo
Arusha ni kampuni Moja
Mwanza makampuni manne
Huoni utofauti huo [emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma hyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Angalia quality ya barabara hizi kwenye video
1. Mifereji umefunikwa
2. Kuna sehemu za watembea kwa miguu
3. Zina alama za barabarani ikiwemo taa maalumu za waenda kwa miguu.
4. Zina street lights.

Hebu niletee video kama hiyo nione Arusha, kisha ntakuongezea barabara zingine za mwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…