Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Anachanganya project ya Ghana na hii uliyopost. Wanafikiri mwanza haiuwashi moto. Hebu washushie under construction projects zote ili wajue hawajui.
Hawa ni wazee wapenda sifa wakajipa maghorofa ya michongo kila tukiomba tuone wanatoka nduki wanabaki kubwabwaja tu.
 
Arusha Kuna kiwanda Cha Nondo,Mwanza mnacho?

Mwanza steel company ipo njombe, Na sasa kuna kiwanda kikubwa zaidi cha nondo EA nzima hakuna kama hicho, kipo kwenye final touches pale nyanguge.... Tunataka kuwaambia nyie machalii wa r, hakuna kitu mtakuja kutuzidi labda kula ndumu, kuvaa na kuvaa midabwada.
 
Arusha Kuna kiwanda Cha Nondo,Mwanza mnacho?

Hako kakiwanda kanazalisha tonnes ngapi? Kakiwanda kamechoka sana mpaka kanaelekea kufirisika, wafanyakazi hawalipwi unakuja kutuletea hii habari ili sisi wana Mwanza tusaidie kulipa hizo mishahara?
 
Hako kakiwanda kanazalisha tonnes ngapi? Kakiwanda kamechoka sana mpaka kanaelekea kufirisika, wafanyakazi hawalipwi unakuja kutuletea hii habari ili sisi wana Mwanza tusaidie kulipa hizo mishahara?
Leta kiwanda Cha Mwanza kama huna kausha pita kimya kimya Kwa aibu
 
Kiko wapi? Hata Mimi naweza kusema Kuna Iringa steel company bila ushahidi
 
Kwasasa kuna kiwanda kikubwa zaidi cha chuma na nondo kinamaliziwa kujengwa hapo Nyanguge, Mwanza👇
 
Leo asubuhi nimefika "KIJIJI CHA WAVUVI" nimehuzunika sana. Mkoa uko nyuma sana kwenye mambo ya kisasa, Yaani ATCL wanatoa Dreamliner kuja Mwanza abiria hatufiki hata 50!!! Watu wa huku wamezoea Super Najimunisa na Zuberi coach. Aibu sana, bora hili li-dege lingeenda A-Town kwa wajanja lisingekosa abiria 300.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…