Si mna beach [emoji3553] pale duluti..ebu tuone[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Oya jamaa wanakarabati majengo mengine likiwepo snow crest ndipo waje wamalizie hilo hapo maana kati ya majengo yote hilo ndilo lilikuwa halijisha
Si mna beach [emoji3553] pale duluti..ebu tuone[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hili ndilo mainland city with ocean vibes
[emoji116][emoji116]
Visit mwanza..View attachment 2580138View attachment 2580139View attachment 2580140View attachment 2580141
Mwanza naiona mbali sana kwa kweli ...Na population yake ni supportive
Arusha ni yale majengo tu ya upendeleo ila wakazi wenyewe wanaishi kweny vichochoro na kuvuta mabangi..Kuna kazi kibao watu wachache ila hawataki kuendeza uhuni tu wa kishamba.Tutajaza saver Bure, mmpewa heshima ya centre ya utalii miaka nenda Rudi, pamoja na mashirika ya kimataifa na kitaifa kuwekeza Arusha lakini wapi. hamna tofauti na Dodoma kwa maana mna miamvuli mnayosafiria lakini hamtoboi?????.
Tuliwaambia Hawa watu kule unga limited Kuna nyumba za miti zimekandikwa dongo, Kuna vumbi na tope la kutosha.Arusha ni yale majengo tu ya upendeleo ila wakazi wenyewe wanaishi kweny vichochoro na kuvuta mabangi..Kuna kazi kibao watu wachache ila hawataki kuendeza uhuni tu wa kishamba.
Endeleeni kujitutumua lakin ARusha sio space ya kwenda vacation kabisa.[emoji16][emoji16][emoji16] Labda projects za mang'ombe kama hizi hapa [emoji116]
Watakuja na swaga za maneno matupuWatu wa arusha mpo wapi?
Watu wa kaskazini na wakenya wanafanana sana tabia, ni wazee wa sifa na kupublish vitu vya uongo ili kujikweza, mara mahotel mengi Tanzania nzima wanaongoza, mara maghorofa, mara utajiri wanaongoza, ukiwaambia waje kwa ground kila siku kupost jengo moja.Watakuja na swaga za maneno matupu