Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Oya jamaa wanakarabati majengo mengine likiwepo snow crest ndipo waje wamalizie hilo hapo maana kati ya majengo yote hilo ndilo lilikuwa halijisha
Si mna beach [emoji3553] pale duluti..ebu tuone[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hili ndilo mainland city with ocean vibes
[emoji116][emoji116]
Visit mwanza..
IMG-20230405-WA0022.jpg
IMG-20230405-WA0013.jpg
IMG-20230405-WA0011.jpg
IMG-20230403-WA0001.jpg
 
Tutajaza saver Bure, mmpewa heshima ya centre ya utalii miaka nenda Rudi, pamoja na mashirika ya kimataifa na kitaifa kuwekeza Arusha lakini wapi. hamna tofauti na Dodoma kwa maana mna miamvuli mnayosafiria lakini hamtoboi?????.
 
Arusha ni yale majengo tu ya upendeleo ila wakazi wenyewe wanaishi kweny vichochoro na kuvuta mabangi..Kuna kazi kibao watu wachache ila hawataki kuendeza uhuni tu wa kishamba.
 
Arusha ni yale majengo tu ya upendeleo ila wakazi wenyewe wanaishi kweny vichochoro na kuvuta mabangi..Kuna kazi kibao watu wachache ila hawataki kuendeza uhuni tu wa kishamba.
Tuliwaambia Hawa watu kule unga limited Kuna nyumba za miti zimekandikwa dongo, Kuna vumbi na tope la kutosha.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Labda projects za mang'ombe kama hizi hapa [emoji116]

Endeleeni kujitutumua lakin ARusha sio space ya kwenda vacation kabisa.
[emoji116][emoji116]see the rock City
Rock bay resort [emoji91][emoji91][emoji91]
20230408_112640.jpg
20230408_112634.jpg
20230408_112631.jpg
 
Watakuja na swaga za maneno matupu
Watu wa kaskazini na wakenya wanafanana sana tabia, ni wazee wa sifa na kupublish vitu vya uongo ili kujikweza, mara mahotel mengi Tanzania nzima wanaongoza, mara maghorofa, mara utajiri wanaongoza, ukiwaambia waje kwa ground kila siku kupost jengo moja.
 
Back
Top Bottom