Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kila siku nasemaga Tanzania Ina watu incompetent sana, yaani unakuta spaces ziko wazi ila wamekomaa na bei zile zile za miaka yote..

Kushusha bei majengo yakawa yanatumika Kuna tatizo gani? Upuuzi huo uko Nchi nzima ikiwemo Rocky City Mall,Ubungo Terminal,Ndugai Market nk..

Jengo likiwa iddle bila kutumika linachakaa..

Hiyo ndio effects ya kuhamia Dodoma,kuharibu biashara na kufanya miradi bila feasibility studies..
Serikali yako ya ccm ,,,,,... unayoitetea itaendelea kuwapa hasara Hadi myaite maji mma ......usiishie kutaja rock city mall..taja pia jengo la NSSF Arusha, kambarage tower dodoma,
 
Sijawahi tetea ujinga wa Serikali kamwe ila pale inapofanya vizuri naipa heko.

Mimi sio mwanaccm na Wala sio mpigakura wao sijawahi na Sina uhakika kama nitapiga kura maana si Wapinzani Wala ccm wote wanalamba asali,so am doing my own life.
 
Mngetutangulia mngepewa nyie hadhi ya jiji kwanza kabla yetu, naona unajifariji, hayo maneno waambieni malofa wenzenu wasioijua arusha.
Mlipewa sababu ya kisiasa na kuzaliana hovyo. Na Arusha sio ndogo kwa tarifa yako.
 
Mwanza ni kwa moto bana, hakuna mji ukawa mwambao mwa ziwa kubwa au bahari halafu ukawa mbovu
 
Ingekuwa mwanza hapo sawa, maana corporate world haipajui, pangekuwa empty kama kighorofa pendwa chenu cha rock city, hovyo.
Ngurdoto ipo wapi ,,, Impala ipo wapi ,naura spring ipo wapi [emoji28][emoji16][emoji16][emoji16]
Ngorongoro tower wanahangaika kutafuta tenants kwenye mitandao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20230404-214153.jpg
 
Mwanza kwa washamba, majiji ni arusha na dar tu. Mwanza ni likijiji hakuna vibe la modern city huko. Tunapajua pamepoa panaboa.
Unajitoa ufahamu, kaskazini ndo inaishobokea mwanza. Kwanza mtu atoke let's say Mwanza au Dsm aende Arusha akawekeze Nini kwa mfano?. Mnabebwa na miradi ya asasi za kiserikali, vinginevyo nyie ni Dodoma iliyochangamka. Hakuna kitu hapo punguzeni bangi akili ikae mahala pake
 
Hakuna je
Ngurdoto ipo wapi ,,, Impala ipo wapi ,naura spring ipo wapi [emoji28][emoji16][emoji16][emoji16]
Ngorongoro tower wanahangaika kutafuta tenants kwenye mitandao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]View attachment 2581844
Unataja vitu vya mtu mmoja aliekufa. Kwanza mwendazake alikuwa anavandalize matajiri wa kaskazini usitutie hasira bure.
 
alishindwa kulipa wafanyakazi Kwa kukosa wateja...
Sa hv arusha mmebaki na five star 2 tu....
Zingine zote hamna kazi ...
biashara za mahotel sa hv zinaenda zinauliwa Airbnb ..ambazo mwanza imeizidi Arusha Mbali sana ...
 
Mwanza kwa washamba, majiji ni arusha na dar tu. Mwanza ni likijiji hakuna vibe la modern city huko. Tunapajua pamepoa panaboa.
Ushawahi kuona wawekezaji kutoka mikoa mingine wamekuja kuwekeza au kuishi Arusha?. Usubishane kifala, ukimuona mzaramo hapo ujue ni mtumishi wa umma. Lakini nyie mmejazana mwanza kutafuta fursa za uchumi. Umebaki wewe kigagula bangi si nzuri
 
Hili nishaliona mda sana, sema vijana wetu wa Arusha watakubishia
 
Mlipewa sababu ya kisiasa na kuzaliana hovyo. Na Arusha sio ndogo kwa tarifa yako.
Watu watazaliana sehemu ambayo haipo stable kiuchumi, sehemu ambayo haina fursa, kwanini watu wengi wapo Dar sio Arusha?
 
Majengo mangapi hapo arusha yamegeuka magofu na mengine yamekuwa hostel za wanafunzi
Ingekuwa mwanza hapo sawa, maana corporate world haipajui, pangekuwa empty kama kighorofa pendwa chenu cha rock city, hovyo.
 
Ngurdoto ipo wapi ,,, Impala ipo wapi ,naura spring ipo wapi [emoji28][emoji16][emoji16][emoji16]
Ngorongoro tower wanahangaika kutafuta tenants kwenye mitandao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]View attachment 2581844
Kutwa nzima kuisema rock city na sasa rock city mall imejaa mpaka nje, waendelee kuongea.
 
Mwanza kwa washamba, majiji ni arusha na dar tu. Mwanza ni likijiji hakuna vibe la modern city huko. Tunapajua pamepoa panaboa.
Acha kuiweka dar sehemu moja na huo uchafu ni kuikosea heshima nyie mkae meza moja na iringa na mbeya, Dodoma imeshawanyea, na bado inaendelea kuwapelekea moto.
 
alishindwa kulipa wafanyakazi Kwa kukosa wateja...
Sa hv arusha mmebaki na five star 2 tu....
Zingine zote hamna kazi ...
biashara za mahotel sa hv zinaenda zinauliwa Airbnb ..ambazo mwanza imeizidi Arusha Mbali sana ...
Watakuja na meno yao kukaza mafuvu kama zamadamu.
 
Ushawahi kuona wawekezaji kutoka mikoa mingine wamekuja kuwekeza au kuishi Arusha?. Usubishane kifala, ukimuona mzaramo hapo ujue ni mtumishi wa umma. Lakini nyie mmejazana mwanza kutafuta fursa za uchumi. Umebaki wewe kigagula bangi si nzuri
Umetumia lugha gani hapa? Hii lugha hawawezi kuilewa wale wenye meno.
 
Back
Top Bottom