Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Arusha hakuna kabila hakuna, hakuna lugha ya kimataifa kubwa isiyozungumzwa. Nyie sio watoto wa mjini hamuwezi kuelewa. Watu wa mwanza sio watoto wa town. Hamna ata ujanja wa kitown. Mnajulikana. Hivi mnachoishinda arusha ni nini labda? Wawekezaji arusha wapo kibao. Acha kukariri, nyie mkishafika dar mnadhani mmemaliza. Arusha for your info ndio sehemu viongozi wamejenga kwanzia mwinyi mpaka wa sasa, kasoro yule mshamba mwenzenu tu.
Ushawahi kuona wawekezaji kutoka mikoa mingine wamekuja kuwekeza au kuishi Arusha?. Usubishane kifala, ukimuona mzaramo hapo ujue ni mtumishi wa umma. Lakini nyie mmejazana mwanza kutafuta fursa za uchumi. Umebaki wewe kigagula bangi si nzuri
 
Hahaha unachekesha sana! Mtu ashindwe kujenga Masaki ajenge Arusha kwa lipi la maana hapo Arusha?
Mnawachukia sana watu wa Mwanza hiyo kitu hapo ni ya Ngosha anaitwa Nyembo! Kajinyongeni sasa!
 
Walizan labda ni shirika au ni serikali kama wao walivyozoea kujengewa na mashirika au serikali.
 
Low bu

Low budget flat. Hizo arusha zinajengwa kule mbali sana.
Wewe kibibi usilete mchezo site kubwa mwanza zipo nyingi sana!
Hilo jengo kwa akili zako ni low budget hapo arusha unasema zikonje ya mji!🤣🤣 wapi huko?
Hata nje ya Dar kama Kimara au kinyerezi ulishakuta jengo kama hilo sembuse Arusha?Hiv nahuyu maboto ndo mwenye eneo la national pale,Hiv nahuyu maboto ndo mwenye eneo la national pale,
 
Kwani dar ndio nini yani? Dar ata sisi kuna mambo wanajifunza kwetu. Washamba na wageni ni nyie. Huna ata haya kighorofa ushuzi 2023 unatamba? Backward ass nikkaz
Wewe kibibi usilete mchezo site kubwa mwanza zipo nyingi sana!
Hilo jengo kwa akili zako ni low budget hapo arusha unasema zikonje ya mji!🤣🤣 wapi huko?
Hata nje ya Dar kama Kimara au kinyerezi ulishakuta jengo kama hilo sembuse Arusha
 
Low bu

Low budget flat. Hizo arusha zinajengwa kule mbali sana.
Kwa akili yako unafikiri Arusha atuifahamu mpaka uanze kuongea uongo. Oya eneo linaitwa half London Kuna ghorofa Gani pale. Kiloleli mixed nyumba sizizo za ghorofa kibao tu mpaka hiyo pitch imezungukwa na vijumba vingi tu vya chini
 
Kwani dar ndio nini yani? Dar ata sisi kuna mambo wanajifunza kwetu. Washamba na wageni ni nyie. Huna ata haya kighorofa ushuzi 2023 unatamba? Backward ass nikkaz
Hasira tu hizo kalale kwanza!
IMG-20230409-WA0031.jpg
 
Ushawahi kuona wawekezaji kutoka mikoa mingine wamekuja kuwekeza au kuishi Arusha?. Usubishane kifala, ukimuona mzaramo hapo ujue ni mtumishi wa umma. Lakini nyie mmejazana mwanza kutafuta fursa za uchumi. Umebaki wewe kigagula bangi si nzuri
Alafu we unachanganya kati ya mchaga na muarusha ,Mchaga kwao ni Kilimanjaro japo Lafudhi ya Mchaga na Watu wa Arusha zinafanana

Tuje kwako unasema eti hamna watu wa Mwanza Arusha? Mimi ofisini kwangu nilipo mama ntilie na Baba ntilie wengi wasukuma Hadi lafudhi ukiwauliza kwenu wapi watakwambia mwanza
 
Alafu hakuna kabila omba omba kama wasukuma wa Mwanza, Yani kwa bongo nahisi wanaanza Wagogo then wasukuma

Hata nilipokuwa nasoma dar mitaa ya Dit pale omba omba wengi ukiulizia ni wasukuma
 
Yaani wewe mpuuzi kweli huwezi kutolea mfano Engineer au msomi fulani msukuma hapo Arusha unatolea mfano mama Ntilie!
 
Wengi ni Ombaomba kwa taarifa yako, Arusha ombaomba ni wagogo na waskuma.
Yaani wewe mpuuzi kweli huwezi kutolea mfano Engineer au msomi fulani msukuma hapo Arusha unatolea mfano mama Ntilie!
 
Alafu hakuna kabila omba omba kama wasukuma wa Mwanza, Yani kwa bongo nahisi wanaanza Wagogo then wasukuma

Hata nilipokuwa nasoma dar mitaa ya Dit pale omba omba wengi ukiulizia ni wasukuma
Unatesekea ukiwa wapi? Sijawahi kuona omba omba wa kisukuma, tena wadada wakisukuma huwezi kuwaona wanafanya kazi hatarishi kama za wanawake wa arusha na Kilimanjaro waliojaa kwenye mabaa na kazi yao kuu ni barmaids.
 
Yaani wewe mpuuzi kweli huwezi kutolea mfano Engineer au msomi fulani msukuma hapo Arusha unatolea mfano mama Ntilie!
Unakuta ni wivu tu hao wasukuma ndio wamiliki wa migahawa yote hapo eti anawaita mama ntilie.
 
Kwani dar ndio nini yani? Dar ata sisi kuna mambo wanajifunza kwetu. Washamba na wageni ni nyie. Huna ata haya kighorofa ushuzi 2023 unatamba? Backward ass nikkaz
Leta lako la 2023, tatizo ujane unakusumbua
 
Back
Top Bottom