ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ukute Haina hata maji si unajua hata Magufuli terminal haikuwa hata na kisima Wala matanki makubwa ya kuhifadhi maji walauu Kwa siku 3 🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23]ndugu zangu wa Mwanza kumbe mnapitia magumu na hamsemi @mikde View attachment 2581750
Mpumbavu huyo aliyeandika huo Uzi ....hapo nje ya stendi mita 500 wanajenga kituo Cha polisi Cha kisasa kabisa ..... anataka na ndani walundike mahabusu ....hyo bus terminal sio sehemu ya kufunza watu adabu[emoji23][emoji23][emoji23]ndugu zangu wa Mwanza kumbe mnapitia magumu na hamsemi @mikde View attachment 2581750
Serikali yako ya ccm ,,,,,... unayoitetea itaendelea kuwapa hasara Hadi myaite maji mma ......usiishie kutaja rock city mall..taja pia jengo la NSSF Arusha, kambarage tower dodoma,Kila siku nasemaga Tanzania Ina watu incompetent sana, yaani unakuta spaces ziko wazi ila wamekomaa na bei zile zile za miaka yote..
Kushusha bei majengo yakawa yanatumika Kuna tatizo gani? Upuuzi huo uko Nchi nzima ikiwemo Rocky City Mall,Ubungo Terminal,Ndugai Market nk..
Jengo likiwa iddle bila kutumika linachakaa..
Hiyo ndio effects ya kuhamia Dodoma,kuharibu biashara na kufanya miradi bila feasibility studies..
Sijawahi tetea ujinga wa Serikali kamwe ila pale inapofanya vizuri naipa heko.Serikali yako ya ccm ,,,,,... unayoitetea itaendelea kuwapa hasara Hadi myaite maji mma ......usiishie kutaja rock city mall..taja pia jengo la NSSF Arusha, kambarage tower dodoma,
Mlipewa sababu ya kisiasa na kuzaliana hovyo. Na Arusha sio ndogo kwa tarifa yako.Mngetutangulia mngepewa nyie hadhi ya jiji kwanza kabla yetu, naona unajifariji, hayo maneno waambieni malofa wenzenu wasioijua arusha.
Ingekuwa mwanza hapo sawa, maana corporate world haipajui, pangekuwa empty kama kighorofa pendwa chenu cha rock city, hovyo.Ilo jengo litakuwa empty kwa 95% ndani ya miaka 25.
Ngurdoto ipo wapi ,,, Impala ipo wapi ,naura spring ipo wapi [emoji28][emoji16][emoji16][emoji16]Ingekuwa mwanza hapo sawa, maana corporate world haipajui, pangekuwa empty kama kighorofa pendwa chenu cha rock city, hovyo.
Unajitoa ufahamu, kaskazini ndo inaishobokea mwanza. Kwanza mtu atoke let's say Mwanza au Dsm aende Arusha akawekeze Nini kwa mfano?. Mnabebwa na miradi ya asasi za kiserikali, vinginevyo nyie ni Dodoma iliyochangamka. Hakuna kitu hapo punguzeni bangi akili ikae mahala pake
Unataja vitu vya mtu mmoja aliekufa. Kwanza mwendazake alikuwa anavandalize matajiri wa kaskazini usitutie hasira bure.Ngurdoto ipo wapi ,,, Impala ipo wapi ,naura spring ipo wapi [emoji28][emoji16][emoji16][emoji16]
Ngorongoro tower wanahangaika kutafuta tenants kwenye mitandao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]View attachment 2581844
alishindwa kulipa wafanyakazi Kwa kukosa wateja...Hakuna je
Unataja vitu vya mtu mmoja aliekufa. Kwanza mwendazake alikuwa anavandalize matajiri wa kaskazini usitutie hasira bure.
Ushawahi kuona wawekezaji kutoka mikoa mingine wamekuja kuwekeza au kuishi Arusha?. Usubishane kifala, ukimuona mzaramo hapo ujue ni mtumishi wa umma. Lakini nyie mmejazana mwanza kutafuta fursa za uchumi. Umebaki wewe kigagula bangi si nzuriMwanza kwa washamba, majiji ni arusha na dar tu. Mwanza ni likijiji hakuna vibe la modern city huko. Tunapajua pamepoa panaboa.
Hili nishaliona mda sana, sema vijana wetu wa Arusha watakubishiaalishindwa kulipa wafanyakazi Kwa kukosa wateja...
Sa hv arusha mmebaki na five star 2 tu....
Zingine zote hamna kazi ...
biashara za mahotel sa hv zinaenda zinauliwa Airbnb ..ambazo mwanza imeizidi Arusha Mbali sana ...
Watu watazaliana sehemu ambayo haipo stable kiuchumi, sehemu ambayo haina fursa, kwanini watu wengi wapo Dar sio Arusha?Mlipewa sababu ya kisiasa na kuzaliana hovyo. Na Arusha sio ndogo kwa tarifa yako.
Ingekuwa mwanza hapo sawa, maana corporate world haipajui, pangekuwa empty kama kighorofa pendwa chenu cha rock city, hovyo.
Kutwa nzima kuisema rock city na sasa rock city mall imejaa mpaka nje, waendelee kuongea.Ngurdoto ipo wapi ,,, Impala ipo wapi ,naura spring ipo wapi [emoji28][emoji16][emoji16][emoji16]
Ngorongoro tower wanahangaika kutafuta tenants kwenye mitandao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]View attachment 2581844
Acha kuiweka dar sehemu moja na huo uchafu ni kuikosea heshima nyie mkae meza moja na iringa na mbeya, Dodoma imeshawanyea, na bado inaendelea kuwapelekea moto.Mwanza kwa washamba, majiji ni arusha na dar tu. Mwanza ni likijiji hakuna vibe la modern city huko. Tunapajua pamepoa panaboa.
Watakuja na meno yao kukaza mafuvu kama zamadamu.alishindwa kulipa wafanyakazi Kwa kukosa wateja...
Sa hv arusha mmebaki na five star 2 tu....
Zingine zote hamna kazi ...
biashara za mahotel sa hv zinaenda zinauliwa Airbnb ..ambazo mwanza imeizidi Arusha Mbali sana ...
Umetumia lugha gani hapa? Hii lugha hawawezi kuilewa wale wenye meno.Ushawahi kuona wawekezaji kutoka mikoa mingine wamekuja kuwekeza au kuishi Arusha?. Usubishane kifala, ukimuona mzaramo hapo ujue ni mtumishi wa umma. Lakini nyie mmejazana mwanza kutafuta fursa za uchumi. Umebaki wewe kigagula bangi si nzuri