Hallucination zinakusumbua, Mwanza haijawahi kupokea watu wa aina yako na kama unataman kuja mwanza sema tukuchangie pesa.Sasa identity ndio muongee na kila mutu hahaha hamuwezi tofautisha kwamba hapa ni town kuna watu wa aina mbali mbali munadhani wote wasukuma dahπππ
Mfano leo nimepanda kidala eti konda anauliza kituo kwa kisukuma sasa ndio nini hiki kama siyo ushamba na ujinga uliowajaa
Ushamba ni kuolewa na vibabu mkuu kuongea lugha yako popote huo ni ujasiriSasa identity ndio muongee na kila mutu hahaha hamuwezi tofautisha kwamba hapa ni town kuna watu wa aina mbali mbali munadhani wote wasukuma dahπππ
Mfano leo nimepanda kidala eti konda anauliza kituo kwa kisukuma sasa ndio nini hiki kama siyo ushamba na ujinga uliowajaa
Arusha mmebaika hotel moja tu kwasasa, zingine zimekuwa ni hostel za wanafunzi mna ipi kipi nyie kwasasa.Wewe hujajibu hata moja
Taja five stars hotels in Mwanza.
Nikutajie basi chache tu 15 zilizopo Chugastan, sikutajii tena zile 80+
Izo ni attack binafsi, kuongea kilugha kati kati ya jiji kama hili huu ni ushamba ulopitiliza. Ingefanyika uko ndani ndani siyo kati kati ya mji. Hii inaonesha jinsi gani muna ushamba mwingi.Ushamba ni kuolewa na vibabu mkuu kuongea lugha yako popote huo ni ujasiri
Hahaha hujajibu swali basi huna hoja tena ..taja hotel gani ni hostel apo town, nimekupunguziya uzito wa swaliArusha mmebaika hotel moja tu kwasasa, zingine zimekuwa ni hostel za wanafunzi mna ipi kipi nyie kwasasa.
Mbona unapata tabu, unatesekea ukiwa arusha sehemu gani?Izo ni attack binafsi, kuongea kilugha kati kati ya jiji kama hili huu ni ushamba ulopitiliza. Ingefanyika uko ndani ndani siyo kati kati ya mji. Hii inaonesha jinsi gani muna ushamba mwingi.
Watu wanaongea lugha zao kwenye mikutano ya UN sembuse kwenye jiji lake iwe ushamba.Izo ni attack binafsi, kuongea kilugha kati kati ya jiji kama hili huu ni ushamba ulopitiliza. Ingefanyika uko ndani ndani siyo kati kati ya mji. Hii inaonesha jinsi gani muna ushamba mwingi.
Hahaha nakupa suali jepesi tu. Hapa mwanza nipe list ya hotel zenye price kwanzi usd 200 yani laki tano tu per dayπππMbona unapata tabu, unatesekea ukiwa arusha sehemu gani?
Mkuu sijui kama unaelewa nachomaanisha, kati kati ya jiji unaongeaje kisukuma tu kama vile unaongea na wasukuma wakati wengine sii ni wageni tunachuma pesa kisha tunapeleka Arusha.Watu wanaongea lugha zao kwenye mikutano ya UN sembuse kwenye jiji lake iwe ushamba.
Hata mkiwaiga wakenya hamuwezi kuwa hat version mbovu ya wakenya
Acha kupoteza lengo nitajie hotel za nyota tano tatu tu ambazo zipo active.Hahaha nakupa suali jepesi tu. Hapa mwanza nipe list ya hotel zenye price kwanzi usd 200 yani laki tano tu per dayπππ
Wakiongea kisukuma wanakuzuia nini kuchuma mapesa!?Mkuu sijui kama unaelewa nachomaanisha, kati kati ya jiji unaongeaje kisukuma tu kama vile unaongea na wasukuma wakati wengine sii ni wageni tunachuma pesa kisha tunapeleka Arusha.
Lishakuwa jiji basi lazima kuwe na standard mukae kama muko kwenye jiji kweli siyo kijiji kikubwa.
List ni hiiππHahaha nakupa suali jepesi tu. Hapa mwanza nipe list ya hotel zenye price kwanzi usd 200 yani laki tano tu per dayπππ
Upo Arusha na unauliza suali jepesi na lakijinga hiviAcha kupoteza lengo nitajie hotel za nyota tano tatu tu ambazo zipo active.
Jibu hili wewe shamba boy KitombileHahaha nakupa suali jepesi tu. Hapa mwanza nipe list ya hotel zenye price kwanzi usd 200 yani laki tano tu per dayπππ
Nimeona mbili tu, Gran Melia na mount meru zingine ni bar zilichangamka, ni bora hata guest house za katoro, Geita.Upo Arusha na unauliza suali jepesi na lakijinga hivi
Arusha tungepata ziwa kama vikitoria au bahari aise tungekuwa tunaongea mengine saa hii
View attachment 2583363View attachment 2583364View attachment 2583365View attachment 2583367View attachment 2583368
Eti chache kama 80 tu hapo Arusha. Unafikiri kwenye hii argument ni Mimi napaswa kukutajia hotel za mwanza au ni wewe. Shuleni mlipita kujifunza kupenga kamasi tu.Nitajie list ya five stars hotels apa kuenu mwanza nikutajie chache kama 80 tu zilizopo Arusha
Fact ya maneno maneno bila ushahidi unafikiri tupo kitchen part hapa. Kama huwezi kushindana acha kuanzisha nyuzi za namna hii. Arusha ni half of London justify it siyo mboyoyo, hatupo kijiwe Cha bangi hapaSasa u apoleta matusi wakati sisi tunakupa fact ina maanisha una panick kwa kuambiwa ukweli.
Arusha Ni half London
Geneva of Africa
Ha haha mwanza kuna hotel za usd 200 per dayπππππEti chache kama 80 tu hapo Arusha. Unafikiri kwenye hii argument ni Mimi napaswa kukutajia hotel za mwanza au ni wewe. Shuleni mlipita kujifunza kupenga kamasi tu.
Upo mjini wapi weweKutokana na ukaribu wa dodoma singida na Arusha basi vijana wengi wa huko huja town na kufanya izo mbanga. Ila sikutanii mwanza siyo kama munavyoipamba hapa nimeona mwenye niko hapa mjini kabisa