Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hii battle naipenda sana kwa sababu hizi mbili..

1.kwa asili kila mtu anapapenda kwao pawe kijijini au mjini.

2.Tamaduni za maeneo tofauti hazifanani unachokiona cha kijanja wenzio wanakiona cha ushamba...

Ubishani na utani ni mzuri kwani kuna ukweli ndani yake mtu anaweza kujifunza.


Hii inaonyesha dhahiri hakuna jamii ni superior dhidi ya mwenzio hata imzidi kwa kitu fulani ila kila jamii ipo kamili katika kuishi kwao kuanzia kuongea ,mavazi, tabia na mengineyo..
 
Yaan sjui shida Nini Kuna mdada kutoka Moshi Arusha anakaa hapa mwanza ni jirani yangu kasema katka harakat za hapa na pale kakutana na jamaa wa Arusha wamesona naye ypo hapa mwanza ni shoga et kamwambia unajua ewe dada ni mweupe kwann usitmie rangi Yako kuongoza kipato? Likaanza kumuhadithia njisi linavodanga
 
Hali ni mbaya sana Arusha hata PWAGU ni dume ila gay watu wanazani ni jike
Arusha ni kitambo kuna jamaa advance mkibishana tu kidogo lazima akuite shoga ni wa huko ...Hii ilikuwa inakera kwa kweli ila kwao ndo wapo kibao yeye kitu kidogo hata ishu za mpira mchezaji kakosea basi neno lake anamuita "shoga" hili neno silipendi kwa kweli.
 
Huko kwao wanajiuza hadharani kabisa kwenye hoteli,pub,night club na kwenye migahawa kna jombi mmoja simpendag at salamu simpag na nazan ni shoga ANATEMBEA amedemka anacheza singeli mikono kichwani anafunua shat halafu anabinuka kiuno yaan chefuuu ad huwa najiuliza Arusha na singeli wapi na wapi kumbe bwabwa
 
Ushoga janga la kidunia. Shetani yupo busy. Ila Arusha ni mji ulioendelea sana mbali kabisa na mwanza ambao ata duniani haufahamiki na hauna umuhimu.
 
Ushoga janga la kidunia. Shetani yupo busy. Ila Arusha ni mji ulioendelea sana mbali kabisa na mwanza ambao ata duniani haufahamiki na hauna umuhimu.
ukitoa promo ya utalii nyie mngekuwa hamna kitu
 
Ushoga janga la kidunia. Shetani yupo busy. Ila Arusha ni mji ulioendelea sana mbali kabisa na mwanza ambao ata duniani haufahamiki na hauna umuhimu.
Tuoneshe hayo maendeleo ya developed city of Arusha.
 
Chuga mji mkubwa huku Hadi watu weupe ni ma photographer..hapa ingekuwa mwanza kila mtu angeacha shughuli zake kumtazama
 
Laana ipo huko uskumani, kila kukicha mara baba kalawiti mtoto, mara kajinyonga, mara kaua mke kisa cha kipuuzi, mara mmeuana kisa macho mekundu, ushoga ndio umekithiri kuliko ata pwani. Laanatullah
Unaongeaga bila fact hujui hii ni jf ukiongea leta evidance Sasa unaongea upupu tupu au pombe na bangi zimekula ubongo wako maana mdomon naona njano tupu
 
Unaongeaga bila fact hujui hii ni jf ukiongea leta evidance Sasa unaongea upupu tupu au pombe na bangi zimekula ubongo wako maana mdomon naona njano tupu
Mwanza ni washamba sana, kutwa kupiga picha. Mtazoea lini lakini?
 
Watu wanatengeneza documentary Arusha hawawezi tengeneza vijijini kama mwanza
At kilwa na bagamoyo wazungu hutengeneza documentary au hujui maana wanashangaa hayo mapagale hivo na Arusha zile nyumba za akina majanaba lazima mzungu apige picha


Kuna mzungu rafiki angu wa kike alikuwa ananiambia kuwa kabla hajaja afrika aliambiwa hakna nyumba za maana tunaishi maporini na akipata wasiwasi kuwa ataishi wapi akifka lakin alipofika akashangaa kuona maisha Yako poa TU,,hivo at watalii wanaopiga picha hayo mapagale ya Arusha wanaenda hko ulaya,au Asia kuwambia waaafrika wanalala kwenye mapango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…