Hiii nchi bado ni masikini sana tusijidanganye na haya majiji ya hovyo hovyo hapa bongo
Kila kitu kinaenda kwa hatua hauwezi kufanya kila kitu kwa wakati mmoja kwenye hii nchi masikini
Mnataka tujengewe daraja la busisi,stand ya nyamhongolo,stand ya nyegezi,maji butimba,soko kuu,lami imetandazwa mjini kote na baadhi ya maeneo kama mwananchi, nyegezi,mji mwema,kiloleni,sabasaba-buswelu,buswelu hadi kijereshi,buswelu hadi kahama,iloganzara hadi bwiru bila kusahau kitangiri hadi ibanda na nera mwaloni nk
Tujifunze kua na shukran kwenye hiii serikali ya kifisadi