Na ukiangalia zaidi ya nusu ya viongoz huwa wanatoka Pwani na dar na Zanzibar hatari sana kwa unyonyaji, lakini ipo siku tutakuwa na serikali ya majimbo kila mtu afaidi keki ya rasilimali yake, sio huu ukiritimba wa sasa kupeleka kila kitu Dar.Ukweli hii nchi Ina viongozi kasuku sana
Wanamachinga complex ya kisasa, na sasa wanajengewe Arena na pia uwanja wa kisasa wa msalato international airport, wakati ujenzi wa kiwanja cha ndege cha mwanza bado ni kizungumkuti.Hata machinga complex wangejenga pia kwenye majiji kama Mwanza,mbeya , Tanga na Arusha mana hizi zinapopulation sana za watu ...tazama eti dodoma imepewa hadhi ya Jiji juzi nayo saivi Wana mpango wakujengewa complex
Serikali ya hovyo sana hii, na sasa upepo umehamia dodama na kigoma, ili eneo lako lifaidi lazim litoe kiongoz mkubwa, lakini Dar bado ndio mnyonyaji mkubwa.Mzee hapa kuna tatizo jiulize bandari ina miaka mingapi pale ndo wamrekebisha juzi yaani hakuna mtu atajali mahali unless pawe kwao ndo uongozi wa bongo....Tanga ya miaka 80's ndo ile ile hakuna jengo jipya na viwanda vinakufa then mtu anakuja "watu wa Tanga wavivu" 😂.
Kazi hamna acha wacheze bao .
Mwanza inajipambania yenyewe tu hakuna namna acha wajenge.
Mbona unalalamika sana chief.... mwanza ndani ya miaka mitano tumemeza zaidi ya 1 trillion so tulia miradi ipo mingi sana mwanzaSerikali ya hovyo sana hii, na sasa upepo umehamia dodama na kigoma, ili eneo lako lifaidi lazim litoe kiongoz mkubwa, lakini Dar bado ndio mnyonyaji mkubwa.
Miundombinu ya Barabara zenye lami og huoni boss,,Mbona unalalamika sana chief.... mwanza ndani ya miaka mitano tumemeza zaidi ya 1 trillion so tulia miradi ipo mingi sana mwanza
Sasa dodoma inamiradi gani mikubwa kuizidi mwanza?
Hiii nchi bado ni masikini sana tusijidanganye na haya majiji ya hovyo hovyo hapa bongoMiundombinu ya Barabara zenye lami og huoni boss,,
😂😂😂😂😂Hiii nchi bado ni masikini sana tusijidanganye na haya majiji ya hovyo hovyo hapa bongo
Kila kitu kinaenda kwa hatua hauwezi kufanya kila kitu kwa wakati mmoja kwenye hii nchi masikini
Mnataka tujengewe daraja la busisi,stand ya nyamhongolo,stand ya nyegezi,maji butimba,soko kuu,lami imetandazwa mjini kote na baadhi ya maeneo kama mwananchi, nyegezi,mji mwema,kiloleni,sabasaba-buswelu,buswelu hadi kijereshi,buswelu hadi kahama,iloganzara hadi bwiru bila kusahau kitangiri hadi ibanda na nera mwaloni nk
Tujifunze kua na shukran kwenye hiii serikali ya kifisadi
Napoingelea mwanza namaanisha jiji, pesa za sgr,mara meli hiyo inahusika nini na jiji la mwanza, jiji kama jiji imepata nini?,meli ni ya Tanzania itaenda bukoka mpka uganda, haya mambo yenu ndio yanafanya tuwe jiji la ovyo.Mbona unalalamika sana chief.... mwanza ndani ya miaka mitano tumemeza zaidi ya 1 trillion so tulia miradi ipo mingi sana mwanza
Sasa dodoma inamiradi gani mikubwa kuizidi mwanza?
Tena hizo bil.hapo ni za structure hiyo pekee ila investment yote kwenye hiyo logistics ni dola mil.500Mahela yote hayo yanamwagwa Dar wakati sehemu nyingine tunalia na barabara pesa zote hizo zinawekwa kwenye lisoko, hii nchi ni ya ovyo sana ni bora tuambiwe kuwa Dar ndio Tanzania na wengine hatustahili kupata vitu vizuri, pesa za kujenga Dar huwa zipo lakini pesa za kujenga sehemu nyingine utaambiwa subiri bajeti au wapo kwenye feasibility study.
Tukisema tunaambiwa kuna madaraja, sgr kuna mameli yamemeza pesa kama vile hiyo ni miradi ya jiji la Mwanza au miradi ya kitaifa, kama daraja la kigongo busisi liko huko sengerema, toka lianze kujengwa sijawahi kuliona hata kwa macho.Miundombinu ya Barabara zenye lami og huoni boss,,
Unataja barabara za toka enzi za ukoloni, unataka kila hatua tusubiri miaka 50.Hiii nchi bado ni masikini sana tusijidanganye na haya majiji ya hovyo hovyo hapa bongo
Kila kitu kinaenda kwa hatua hauwezi kufanya kila kitu kwa wakati mmoja kwenye hii nchi masikini
Mnataka tujengewe daraja la busisi,stand ya nyamhongolo,stand ya nyegezi,maji butimba,soko kuu,lami imetandazwa mjini kote na baadhi ya maeneo kama mwananchi, nyegezi,mji mwema,kiloleni,sabasaba-buswelu,buswelu hadi kijereshi,buswelu hadi kahama,iloganzara hadi bwiru bila kusahau kitangiri hadi ibanda na nera mwaloni nk
Tujifunze kua na shukran kwenye hiii serikali ya kifisadi
Acheni kuionea Kigoma na Western huko Bado ni mapori na kulipuuzwa sana..Serikali ya hovyo sana hii, na sasa upepo umehamia dodama na kigoma, ili eneo lako lifaidi lazim litoe kiongoz mkubwa, lakini Dar bado ndio mnyonyaji mkubwa.
Sisi wa Mwanza na mikoani tukidai haki tunaanza kupigiwa hesabu zisizoelewekaTena hizo bil.hapo ni za structure hiyo pekee ila investment yote kwenye hiyo logistics ni dola mil.500
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] .....Tukisema tunaambiwa kuna madaraja, sgr kuna mameli yamemeza pesa kama vile hiyo ni miradi ya jiji la Mwanza au miradi ya kitaifa, kama daraja la kigongo busisi liko huko sengerema, toka lianze kujengwa sijawahi kuliona hata kwa macho.
Kuandamana ni bureTena hizo bil.hapo ni za structure hiyo pekee ila investment yote kwenye hiyo logistics ni dola mil.500
Naona umetaja barabara za Ilemela tu hapo kwa 90%, za Mwanza cc zipo wapi then unataka kuniambia tuwe na shukrani kwa lip?Hiii nchi bado ni masikini sana tusijidanganye na haya majiji ya hovyo hovyo hapa bongo
Kila kitu kinaenda kwa hatua hauwezi kufanya kila kitu kwa wakati mmoja kwenye hii nchi masikini
Mnataka tujengewe daraja la busisi,stand ya nyamhongolo,stand ya nyegezi,maji butimba,soko kuu,lami imetandazwa mjini kote na baadhi ya maeneo kama mwananchi, nyegezi,mji mwema,kiloleni,sabasaba-buswelu,buswelu hadi kijereshi,buswelu hadi kahama,iloganzara hadi bwiru bila kusahau kitangiri hadi ibanda na nera mwaloni nk
Tujifunze kua na shukran kwenye hiii serikali ya kifisadi
Tangulia Nitakuwa naripoto Kwa updates jf
Ndivyo mlikuwa mnawafanya wenzenu..Sisi wa Mwanza na mikoani tukidai haki tunaanza kupigiwa hesabu zisizoeleweka
Kanda ya ziwa hatukupuuzwa kwenye tawala nyingine?Acheni kuionea Kigoma na Western huko Bado ni mapori na kulipuuzwa sana..
Serikali ongeza mapesa upande huo ili kufungua fursa.