Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Daladala zote mwisho wake huwa ni kwwnye mavumbi na matope, gari za kishiri, luchelele, machinjioni, mahina, bulale hizo ni za route ya daladala zitki kutaja za kwenye kata au mitaa zile ambazo ni muhimu zaidi.
Nakazia
 
Naona umekubali ukweli Sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tanga ni Vijiji kama Vijiji vingine..

Huwezi pata Barabara Kali kama hii ya Dar-Iringa-Mbeya-Tunduma huko Kijiji Cha Tanga.
 
Asante kwa kulitambua hilo, tunatakiwa kuwa wakweli kuliko kuumia wakati hatuna barabara hapo Mwanza cc, Ilemela ndio inatuweka mjini.
 
Tanga ilitelekezwa huwezi kufananisha na washamba wa Mbeya kwa kila kitu...Tunachangia pesa ndefu serikalini nyie parachichi hamna kituπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nakwambia ILEMELA wako fiti mno wanajua potential area haya now Kule bwiru Kuna lami inatoka sabasaba inapita breweries Kuja kuunga kitangiri road na wako wanaendelea na ujenzi,, hko ilalila nazan unaona mambo yanaendelea vizr, njoo KIRUMBA road za kuzunguka SOKO znachongwa na greda na wanajengelea mitaro pande zote,,vip NYAMAGANA wapo TUπŸ˜‚
 
Daladala zote mwisho wake huwa ni kwwnye mavumbi na matope, gari za kishiri, luchelele, machinjioni, mahina, bulale hizo ni za route ya daladala zitki kutaja za kwenye kata au mitaa zile ambazo ni muhimu zaidi.
Nikiacha u-proIlemela ni kweli nyamagana inapitia changamoto kubwa sana kata kubwa kama ya kishiri hawezi kukosa lami aiseee
 
Viongozi badala ya kubuni miradi na kuwa na maono wamekalia kufuga vitambi tu.
 
Nikiacha u-proIlemela ni kweli nyamagana inapitia changamoto kubwa sana kata kubwa kama ya kishiri hawezi kukosa lami aiseee
Inawakazi 64000+ na hakuna hata barabara ya changarawe, nikae natetea liserikali la namna hii si nitakuwa mpumbavu.
 
Hivi mbunge wa nyamagana ni nani?
 
Nikiacha u-proIlemela ni kweli nyamagana inapitia changamoto kubwa sana kata kubwa kama ya kishiri hawezi kukosa lami aiseee
Haina Kuna muda mvua zikizidi bro unashukia stand ya kishiri igoma unatafta boda maana magar hayafiki road imeliwa na mvua ad kero halafu unaskia mbuge anapongeza Kwa raisi kuwa anaupiga mwingi kapewa madarasa na kujengewa vyoo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwan WANATUZIDI Nini nyamagana ukitoa CBD,πŸ˜‚πŸ˜‚, Wana PC HOTEL sie tnadunda na malaika πŸ˜‚πŸ˜‚,
Ilemela kuna chuo cha DIT, kuna Malaika beach, kuna uwanja wa ccm kirumba, kuna soko kubwa la samaki EA la kirumba, kuna stendi ya nyamhongolo, kuna uwanja wa ndege Mwanza internatiomal airport, kuna makazi bora kuna barabara za kutosha, kuna hotel za nyota 3 na 4 nyamagana wanatuzidi CBD tu.
 
Naongezea Kuna shopping mall kama rock city mall,,kna beach Kali sana kama tunza beach and resort,kiufupi ilemela pakishua mbuge mjanja sana,,kuliko yule anajiita mtoto wa mjini wakati anakaa vumbini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…