Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mikoa inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya majengo ya ghorofa #Tanzania kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi 2022 1. Dar es Salaam: 32,219 2. Arusha: 7,180 3. Tanga: 4,282 4. Kilimanjaro: 3,540 5. Mwanza: 2,481
Kwani aliyekuambia arama ya mji ni maghorofa ninani?
 
Bwana mapank kubari tuu kwamba Mwanza bado sana kwa Arusha..

Siku mkifika level za kuwa na skyline iliyopambwa na mandhari safi Kama hii mtasumbua sana,Arusha [emoji116]
Huu uchafu [emoji706][emoji706]
HIV mkifika hapa mtasemaje
JamiiForums-1196819267.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanza bado sana hakuna lolote zaidi ya ziwa ,watu wanachapwa hadi na Kilimanjaro kwenye maghorofa iyo ni jiji ama glorified village..?
Kwani ghorofa kitu gani ungesema population hapo kidogo ungekuwa na point, hata hivyo Mwanza kwa population mkalale na moshi wako.
 
Kwani ghorofa kitu gani ungesema population hapo kidogo ungekuwa na point, hata hivyo Mwanza kwa population mkalale na moshi wako.
Machalii wa chuga ni tatizo sana, uwezo wao kifikra na upembuzi wa mambo ni mdogo zaidi ya kawaida......
 
Arusha 👇
 
Attachments

  • images - 2022-11-14T011202.891.jpeg
    images - 2022-11-14T011202.891.jpeg
    26.9 KB · Views: 15
  • images - 2022-11-14T011211.787.jpeg
    images - 2022-11-14T011211.787.jpeg
    31.7 KB · Views: 14
Chuga Kama chuga I azidi kupendezeshwa na roads Kali 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221115-215352.png
    Screenshot_20221115-215352.png
    260.8 KB · Views: 16
Chuga Kama chuga I azidi kupendezeshwa na roads Kali 👇
Baki njia kuu, Tetea miji yako ya Mbeya na NJOMBE. Usiwe kama mwanamke malaya malaya unafakamia madume. Au unawashobokea machalii *****. Kwanza hunaga points pili unapost picha ya jengo Moja Moja... Childish.
 
Kwani ghorofa kitu gani ungesema population hapo kidogo ungekuwa na point, hata hivyo Mwanza kwa population mkalale na moshi wako.
Au akija kutokea tajiri hapa Tanzania akajenga apartment ya vigorofa 34000, mkoani Lindi, pia watakuja kusema lindi ni bora kiuchumi kuliko Dar kwasababu ya vigorofa😂😂😂😂
 
Baki njia kuu, Tetea miji yako ya Mbeya na NJOMBE. Usiwe kama mwanamke malaya malaya unafakamia madume. Au unawashobokea machalii *****. Kwanza hunaga points pili unapost picha ya jengo Moja Moja... Childish.
Ukisikia paa tayari Arusha imepiga kwenye mshono 😁😁.

Hayo mengine Ni ya kujifariji
 
Watu wa chuga wakionaga hvi wivu debe..vitu HIV miaka milioni 999 ,,,ndo Arusha watakuwa navyo ..we guess lile bonde la ufa pale babati litaleta spread na kutengeneza bahari ya kati ya Afrika mashariki itaenda Hadi Kwa wagogo [emoji28]..(the east Africa sea)
IMG-20221119-WA0002.jpg
IMG-20221119-WA0001.jpg
 
Watu wa chuga wakionaga hvi wivu debe..vitu HIV miaka milioni 999 ,,,ndo Arusha watakuwa navyo ..we guess lile bonde la ufa pale babati litaleta spread na kutengeneza bahari ya kati ya Afrika mashariki itaenda Hadi Kwa wagogo [emoji28]..(the east Africa sea)View attachment 2421220View attachment 2421221
Made in Mwanza [emoji4][emoji4][emoji4], Chugga wanapambana na zile warbus [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Bwana mapank kubari tuu kwamba Mwanza bado sana kwa Arusha..

Siku mkifika level za kuwa na skyline iliyopambwa na mandhari safi Kama hii mtasumbua sana,Arusha 👇
Ama kweli mahaba niue ndyo hii kitu. Unaanzaje kulinganisha jiji la Mwanza na town center kama Arusha? Ebu acheni ujinga bwana. Tena jiji lenyewe la Arusha limebebwa na serikali miaka nenda rudi wakati Mwanza ni jiji lilikuwa lenyewe bila support yoyote ya serkali labda awamu ya tano tu ndio serikali imefanya angalau kidogo investment huko Mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla.
 
Baki njia kuu, Tetea miji yako ya Mbeya na NJOMBE. Usiwe kama mwanamke malaya malaya unafakamia madume. Au unawashobokea machalii *****. Kwanza hunaga points pili unapost picha ya jengo Moja Moja... Childish.
Huyu tatizo lake alipigwa na uncle Magu na kitu kizito kwa nyuma hivyo akamchukia uncle Magu na kanda ya ziwa yote. Yupo tayari kushabikia Mogadishu na Kisimayu ila siyo Mwanza au kanda ya ziwa. Huwa nafikiria sana ni kitu gani Uncle Magu alimfanyia huyu jamaa hadi akajenga chuki kiasi hicho. Huyu jamaa ni dizaini ya wanawake ambao wakitoswa na njemba zao wanachukia ukoo mzima wa hiyo njemba utadhani alikuwa anapigwa miti na ukoo mzima.
 
Back
Top Bottom