Kubali Kuna mahala akili yako haiko sawa. Ujinga wa kuleta jengo Moja Moja ni wako peke yako katika platform hii ya jamii forum.La Mwanza Liko wapi?😜😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubali Kuna mahala akili yako haiko sawa. Ujinga wa kuleta jengo Moja Moja ni wako peke yako katika platform hii ya jamii forum.La Mwanza Liko wapi?😜😜
Chuga 👇Kubali Kuna mahala akili yako haiko sawa. Ujinga wa kuleta jengo Moja Moja ni wako peke yako katika platform hii ya jamii forum.
Hapo ndio Mwanza imeisha hivyoo..
The best City Ever. Kwenye dunia hakutatokea jiji kama Arusha, mahali kama A Town. Mji uliobarikiwa, mji wenye watu mafaita, mji wenye kila kinachoitajika duniani.Chuga 👇View attachment 2430838
Nikihitaji beach [emoji2513] resorts nitapata ??The best City Ever. Kwenye dunia hakutatokea jiji kama Arusha, mahali kama A Town. Mji uliobarikiwa, mji wenye watu mafaita, mji wenye kila kinachoitajika duniani.
Mji umejaa wasukuma tu 😂😂😂😂 sehemu kaa izo uku chugga wamejaa wazungu tu na haturingiNikihitaji beach [emoji2513] resorts nitapata ??
Si mji wenye Kila kinachohitajika Duniani [emoji28][emoji116]
Tunza beach [emoji2513] resorts [emoji91][emoji91]View attachment 2447831View attachment 2447832View attachment 2447833View attachment 2447834
Ushamba mwingine ni mzigo, whats special na wazungu???? Wewe na mzungu mnatofauti gani????Mji umejaa wasukuma tu 😂😂😂😂 sehemu kaa izo uku chugga wamejaa wazungu tu na haturingi
🤣🤣🤣Nilitaka kumjibu jana nikaamua nikae tu kimya, nafikiri ana safari ya kujifunza kuwa nyumba Kali mwanza Wanakaa wasukuma ila kwa Arusha Wanakaa wazungu halafu anaringa.Ushamba mwingine ni mzigo, whats special na wazungu???? Wewe na mzungu mnatofauti gani????
![]()
Ushamba mwingine ni mzigo, whats special na wazungu???? Wewe na mzungu mnatofauti gani????
![]()
Sisi tunachanganyikana na wageni tunapata mambo mapya kila siku ndio maana hatunaga shobo na lofa yeyote yule. Sasa nyie masukuma hamuna interaction mupo mupo tu ndio maana mukifika sehemu munashindwa kujizuia hatimaye ushamba wenu wa kutojichanganya unaonekana.🤣🤣🤣Nilitaka kumjibu jana nikaamua nikae tu kimya, nafikiri ana safari ya kujifunza kuwa nyumba Kali mwanza Wanakaa wasukuma ila kwa Arusha Wanakaa wazungu halafu anaringa.
Mambo mapya ya ushoga au Nini?. Mbona una shobo na wazungu au hujui kuwa wewe ndo lofa.Sisi tunachanganyikana na wageni tunapata mambo mapya kila siku ndio maana hatunaga shobo na lofa yeyote yule. Sasa nyie masukuma hamuna interaction mupo mupo tu ndio maana mukifika sehemu munashindwa kujizuia hatimaye ushamba wenu wa kutojichanganya unaonekana.
Mambo Gani mapya mliyonayo nyie ,,,,Sisi tunachanganyikana na wageni tunapata mambo mapya kila siku ndio maana hatunaga shobo na lofa yeyote yule. Sasa nyie masukuma hamuna interaction mupo mupo tu ndio maana mukifika sehemu munashindwa kujizuia hatimaye ushamba wenu wa kutojichanganya unaonekana.
Leta hizo picha, bumunda weweCheki jinsi ambavyo huna akili. Badala ya kujibu hoja unaleta mambo ya asili. Mimi nikiweka picha za mnavyokunya ziwani si nitaonekana nawatukana.! em punguza usukuma angalau uwe na akili
Sewage zitoke wape kwenye ma slums huko? 😂😂Leta hizo picha, bumunda wewe
Hakuna mji wenye sewarage system safi kama Mwanza, project zinataambaa mpaka milimani, Mara ya mwisho Arusha kuongeza mtandao wa maji taka ni lini??? Tukisema nyie ndio mnaokunywa vinyesi tunakosea?????
View attachment 2450267