Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kubali Kuna mahala akili yako haiko sawa. Ujinga wa kuleta jengo Moja Moja ni wako peke yako katika platform hii ya jamii forum.
Chuga 👇
airtanzania_atcl_1669702184925468.jpg
 
The best City Ever. Kwenye dunia hakutatokea jiji kama Arusha, mahali kama A Town. Mji uliobarikiwa, mji wenye watu mafaita, mji wenye kila kinachoitajika duniani.
Nikihitaji beach [emoji2513] resorts nitapata ??
Si mji wenye Kila kinachohitajika Duniani [emoji28][emoji116]
Tunza beach [emoji2513] resorts [emoji91][emoji91]
16474a0a494e2bb340d178db778ecaec.jpg
39bc4bc607af5af18a4aa0c37d3a9798.jpg
15de7d7828ae304a1078c54859ff6c21.jpg
c2f2bb54615941d6ae8e0b97f715e919.jpg
 
Cheki jinsi ambavyo huna akili. Badala ya kujibu hoja unaleta mambo ya asili. Mimi nikiweka picha za mnavyokunya ziwani si nitaonekana nawatukana.! em punguza usukuma angalau uwe na akili
Ushamba mwingine ni mzigo, whats special na wazungu???? Wewe na mzungu mnatofauti gani????
images
 
🤣🤣🤣Nilitaka kumjibu jana nikaamua nikae tu kimya, nafikiri ana safari ya kujifunza kuwa nyumba Kali mwanza Wanakaa wasukuma ila kwa Arusha Wanakaa wazungu halafu anaringa.
Sisi tunachanganyikana na wageni tunapata mambo mapya kila siku ndio maana hatunaga shobo na lofa yeyote yule. Sasa nyie masukuma hamuna interaction mupo mupo tu ndio maana mukifika sehemu munashindwa kujizuia hatimaye ushamba wenu wa kutojichanganya unaonekana.
 
Mambo mapya ya ushoga au Nini?. Mbona una shobo na wazungu au hujui kuwa wewe ndo lofa.
 
Sisi tunachanganyikana na wageni tunapata mambo mapya kila siku ndio maana hatunaga shobo na lofa yeyote yule. Sasa nyie masukuma hamuna interaction mupo mupo tu ndio maana mukifika sehemu munashindwa kujizuia hatimaye ushamba wenu wa kutojichanganya unaonekana.
Mambo Gani mapya mliyonayo nyie ,,,,
[emoji116][emoji116][emoji116]
Bugando..cancer facility [emoji91][emoji91][emoji91]
JamiiForums1999046250.jpg
JamiiForums997881840.jpg
JamiiForums-1730601108.jpg
JamiiForums-216112215.jpg
 
Cheki jinsi ambavyo huna akili. Badala ya kujibu hoja unaleta mambo ya asili. Mimi nikiweka picha za mnavyokunya ziwani si nitaonekana nawatukana.! em punguza usukuma angalau uwe na akili
Leta hizo picha, bumunda wewe

Hakuna mji wenye sewarage system safi kama Mwanza, project zinataambaa mpaka milimani, Mara ya mwisho Arusha kuongeza mtandao wa maji taka ni lini??? Tukisema nyie ndio mnaokunywa vinyesi tunakosea?????
1671313093946.png
 
View attachment 2450267
Sewage zitoke wape kwenye ma slums huko? 😂😂

Unachekesha Hadi raha
 
Back
Top Bottom