Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hizo km 20 za wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Buswelu haipitiwi na lami ya sabasaba kwa 60%, buswelu haipitiwi na lami ya kuanzia veta mpaka huko kahama ilalila na kabusungu, buswelu ina mradi wa tactic 9.5 km 70% itapita buswelu kwenye mtaa wa nyamadoke endelea kupambana n buswelu, tunaomba za mkolani, igoma, kishiri, buhongwa, mahina, bulale,luchelele na nyegezi.
 
Nipo KIRUMBA Huku Ile road inatoka magomen kuzunguka kuunga soko KIRUMBA mwaloni aisee wanapiga lam kama uonavyo kwenye picha na mitaro imejengelewa pande zote mbili
 
Nyamagana haoni ndani kwa ilemela nyasaka,bwiru,buswelu,kiseke,ilemela,kirumba,kiloleni,maduka tisa,nyamanoro,nyamhongolo,jiwe kuu kote huko ni balaaa tupu

Nyamagana maeneo yake mengi yamekaa kiswahili mfano mkuyuni,mswahili,shede,mandera(igoma),minazi mitatu(bugarika C) na maeneo baadhi ya igogo huko hadi vigodoro wanacheza tena wanavua hadi vyupi[emoji1787] sasa haya mambo ilemela utayapata wapi?

Mtu akigoogle slums za mwanza zitakuja picha za nyamagana[emoji1787] igogo,mabatini na sahara[emoji1787]

SOTE TUSEME ILEMELA JITU KUBWA
 
JITU KUBWA, nyamagana uswazi mwingi kinoma pale password,igogo na bugarika sjui Kuna watanga kule unakuta wanacheza road wanafunua dera 😭😭
 
Halafu watanga sjui baiskeli ni jadi Yao Kuna Mzee anaendesha baiskeli hapa town anaelekea msikitini anapat shida kweli kama ujuavyo jamu ya hapa,,huwa namtania sana.

Na Hawa warabu Koko wanatuharibia miji wanakaa katkati ya Jiji vijumba vya kale vimechoka lakin kuhama wabishi ndo maana TANGA imekaa kama magofu ya kilwa kumbe shida ni Hawa waswahili πŸ˜‚πŸ˜‚wapo mitaa ya mirongo na rufiji wanaharibu city view πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kumbe chief ulishaona hilo, hao wararabu wa kayenze wanakera sana, yaani wamekatalia katikati ya mji wakiwa na vichuguu vyao na kutoka hawataki.
 
Kumbe chief ulishaona hilo, hao wararabu wa kayenze wanakera sana, yaani wamekatalia katikati ya mji wakiwa na vichuguu vyao na kutoka hawataki.
Noma vijumba vibovu lakin hawataki kuachia site hata ukiwa dodoma wamejazana mail mbili Kwa mody vijumba kama choo mbala mwezi ikiwaka ndan unaona nyota nyingi πŸ˜‚πŸ˜‚ bat limetoboka toboka nyumba imesimama Kwa egemeo la nguzo ya mti πŸ˜‚πŸ˜‚
 
JITU KUBWA, nyamagana uswazi mwingi kinoma pale password,igogo na bugarika sjui Kuna watanga kule unakuta wanacheza road wanafunua dera [emoji24][emoji24]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hizo tabia nimeziona sana hayo maeneo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…