Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Hizo km 20 za wapiVumbi gani buswelu, ina four ways kuna round about mbili a.k.a keep left mbili na zote zina lami, na sasa kuna mradi wa tactic buswelu peke yke mpaka sasa mtandao wake wa lami ni 20 km kata moja tu.
Sent using Jamii Forums mobile app