Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

😂😂😂😂 konk master kwenye ubora wako.
 
Nyie endeleeni kujifariji....
Mnaposema nyamagana ni uswazi ..ni maeneo machache tu kama igogo , mabatini, mkuyuni na butimba......lakin mitaa mingine ya nyamagana ni standard na wanajenga kisasa ... angalia nyegezi, buhongwa,mhandu , bugarika, kishiri,igoma ....Pako bomba tu ...
Nimeuliza swali sijajibiwa hiv Kuna mtaa smart kuzidi ihii[emoji91]...[emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna eneo kama hili nyamagana
 
Sasa hapa Kuna nini Cha maana bro wangu [emoji1787][emoji1787][emoji16]
Uswazi uko wapi.. mbona mnachuki na nyamagana [emoji28][emoji116]View attachment 2596509View attachment 2596510View attachment 2596511

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyamagana ni nzuri sana tatizo inamaeneo yenye uswahili mengi tena sio uswahili huu ni ule uswahili wa pwani[emoji1787][emoji1787]

Bugarika C inapakana na igogo na mkuyuni aiseee ni balaaahh tupu kule kuna wanawake wanakodiwa kwenye ugomvi ukiwakuta wamevaa Madera ndani hawana vyupi ni balaaa tupu na ngoma juuu

Siku ya kwanza kuwaona sikuamini kama hiii ndio mwanza ya Wasukuma wapole

Nyamagana ukitoa igogo,mabatini,bugarika na mkuyuni maeneo yate yaliyobaki ni mazuri sana
 
Kweli kabisa...
Muda wa wadhamini imeisha ... ARUSHA msijifiche kichapo kinaendelea [emoji28][emoji28][emoji28]
paqwa ChoiceVariable
Site mpya [emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjitahidi na miundombinu ya barabara nje ya CBD, kwenye cbd nyamagana haina mpinzani mpo vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…