Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Noma vijumba vibovu lakin hawataki kuachia site hata ukiwa dodoma wamejazana mail mbili Kwa mody vijumba kama choo mbala mwezi ikiwaka ndan unaona nyota nyingi 😂😂 bat limetoboka toboka nyumba imesimama Kwa egemeo la nguzo ya mti 😂😂
😂😂😂😂 konk master kwenye ubora wako.
 
Nyie endeleeni kujifariji....
Mnaposema nyamagana ni uswazi ..ni maeneo machache tu kama igogo , mabatini, mkuyuni na butimba......lakin mitaa mingine ya nyamagana ni standard na wanajenga kisasa ... angalia nyegezi, buhongwa,mhandu , bugarika, kishiri,igoma ....Pako bomba tu ...
Nimeuliza swali sijajibiwa hiv Kuna mtaa smart kuzidi ihii[emoji91]...[emoji116]
JamiiForums198584994.jpg
JamiiForums141598.jpg
JamiiForums1705739662.jpg
1670062238087-01 (1).jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie endeleeni kujifariji....
Mnaposema nyamagana ni uswazi ..ni maeneo machache tu kama igogo , mabatini, mkuyuni na butimba......lakin mitaa mingine ya nyamagana ni standard na wanajenga kisasa ... angalia nyegezi, buhongwa,mhandu , bugarika, kishiri,igoma ....Pako bomba tu ...
Nimeuliza swali sijajibiwa hiv Kuna mtaa smart kuzidi ihii[emoji91]...[emoji116]View attachment 2596496View attachment 2596497View attachment 2596499View attachment 2596504

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna eneo kama hili nyamagana
Screenshot_20230412-180117~2.jpg
downloadfile(47).jpg
Screenshot_20230221-103551.jpg
 
Sasa hapa Kuna nini Cha maana bro wangu [emoji1787][emoji1787][emoji16]
Uswazi uko wapi.. mbona mnachuki na nyamagana [emoji28][emoji116]View attachment 2596509View attachment 2596510View attachment 2596511

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyamagana ni nzuri sana tatizo inamaeneo yenye uswahili mengi tena sio uswahili huu ni ule uswahili wa pwani[emoji1787][emoji1787]

Bugarika C inapakana na igogo na mkuyuni aiseee ni balaaahh tupu kule kuna wanawake wanakodiwa kwenye ugomvi ukiwakuta wamevaa Madera ndani hawana vyupi ni balaaa tupu na ngoma juuu

Siku ya kwanza kuwaona sikuamini kama hiii ndio mwanza ya Wasukuma wapole

Nyamagana ukitoa igogo,mabatini,bugarika na mkuyuni maeneo yate yaliyobaki ni mazuri sana
 
Kweli kabisa...
Muda wa wadhamini imeisha ... ARUSHA msijifiche kichapo kinaendelea [emoji28][emoji28][emoji28]
paqwa ChoiceVariable
Site mpya [emoji116]
IMG-20230412-WA0001.jpg
IMG-20230412-WA0002.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjitahidi na miundombinu ya barabara nje ya CBD, kwenye cbd nyamagana haina mpinzani mpo vizuri.
 
Back
Top Bottom