Qualitycontrol
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 777
- 498
Yan kam hiyo miradi wangeleta mikoani sababu wao tayari Wana Kariakoo lakini wapiNa bado wameongezewa soko kubwa EA pale ubungo, na hiyo bajeti sijui huwa inasomwa wapi?
Leta vitu bro, nipo hapa nimetulia.Msijali leo na mimi nakuja na picha za town usikimbie
Na bado wanataka kujengewa daraja la kuunganisha Dar na Zanzibar kwa 40 Trillion, wakati majiji mengine hayana uhakika wa usafiri barabara mbovu kama Mwanza hasa ile barabara kuu ya Kenyatta, hii nchi hii.Yan kam hiyo miradi wangeleta mikoani sababu wao tayari Wana Kariakoo lakini wapi
Mimi namlaumu Mwendazake Kwa aina ya Vipaombele alivyochukua.[emoji23][emoji23]kwa Flyover na Interchange hii mikoa miwil isubiri sana kwanza Hiyo miradi iende Dodoma na Dar es salaam.
Yani serikali imeona Dar na Dom ndo mikoa ya maana mikubwa tu tz kumbe hamna kitu ,Kenya majiji kama ya Mombasa,Nakuru na Kisumu yote ni majiji madogo baada ya Nairobi lakini ona maendeleo yake
Tabu sana, sisi kama Mwanza tunahisi tunahujumiwa sana na serikali ili tusiendelee.Mimi namlaumu Mwendazake Kwa aina ya Vipaombele alivyochukua.
Hii Nchi inahitaji Barabara na sio hayo mareli,Jiji kama la Mwanza licha ya kuwa na Watu wengi hivyo ila halina Barabara kabisa za mitaani na hata zilizopo hazina hadhi ya Jiji
Serikali ipi? Yaani Muache kumlaumu Mwendazake mje kulaumu awamu ya 6,ni ajabu sanaTabu sana, sisi kama Mwanza tunahisi tunahujumiwa sana na serikali ili tusiendelee.
Unataka kusema kila mwaka tuwe tunalaumu serikali ya magufuli kwani hii serikali haiwezi kurekebisha hayo makosa, tena hii serikali inataka kujenga daraja la 50km mpka zanzibar lakini hamna anayesema, lakini daraja la 3km likijengwa mwanza au mradi wowote lazima watu wakaze mafuvu yaoSerikali ipi? Yaani Muache kumlaumu Mwendazake mje kulaumu awamu ya 6,ni ajabu sana
Pesa za kufanya hayo hazipo Kwa sababu pesa nyingi zinatakiwa kuishia kwenye mamiradi makubwa tuu kama Sgr kiasi kwamba bila hivyo Serikali ingeshafanya unayosema..Unataka kusema kila mwaka tuwe tunalaumu serikali ya magufuli kwani hii serikali haiwezi kurekebisha hayo makosa, tena hii serikali inataka kujenga daraja la 50km mpka zanzibar lakini hamna anayesema, lakini daraja la 3km likijengwa mwanza au mradi wowote lazima watu wakaze mafuvu yao
Mbona miradi Dar na dodoma haihathiriwi na mradi wa sgr, lakini miradi ya mwanza huwa wanakuwa na kauli zao mbili kuuPesa za kufanya hayo hazipo Kwa sababu pesa nyingi zinatakiwa kuishia kwenye mamiradi makubwa tuu kama Sgr kiasi kwamba bila hivyo Serikali ingeshafanya unayosema..
So Mwendazake hatuwezi acha kumlaumu,tunapoteza pesa nyingi sana ku invest kwenye miradi ambayo Haina Tija..
Watu walidanganywa kwamba eti Sgr ikikamilika Mabasi yataondoka,huu ni uongo wa mchana maana Sgr inapitia maporini so pengine itakuwa na behewa chache na mabasi yataendelea kuwepo kama kawaida.
Barabara za mitaani leo utazionaMimi namlaumu Mwendazake Kwa aina ya Vipaombele alivyochukua.
Hii Nchi inahitaji Barabara na sio hayo mareli,Jiji kama la Mwanza licha ya kuwa na Watu wengi hivyo ila halina Barabara kabisa za mitaani na hata zilizopo hazina hadhi ya Jiji
Kama mradi gani? Status ya Dom na Dar ni vitu 2 tofauti na hiyo Miji mingineMbona miradi Dar na dodoma haihathiriwi na mradi wa sgr, lakini miradi ya mwanza huwa wanakuwa na kauli zao mbili kuu
1.wapo kwenye feasibility study
2.upembuzi yakinifu umeshakamilika toka mwaka 2015 lakini kwasasa tunatafuta pesa kwaajiri ya mradi huo.
Hazipo za kutosha yaani naweza kukupigia picha za Matope utashangaa ni shida tupu..Barabara za mitaani leo utaziona
Barabara moja?[emoji1787]Hazipo za kutosha yaani naweza kukupigia picha za Matope utashangaa ni shida tupu..
Jiji zima Lina Barabara Moja ,ndio maana sipendi kuishi kwenye mamiji yenu hya ya kienyeji kienyeji
Jiji kama Mwanza yaani Iko ifike City centre unatumia Barabara Moja ,ukitaka uende Mji ya Mji lazima upite City centre kwenye Barabara Moja hiyo hiyo ,huu ni upuuzi..Barabara moja?[emoji1787]
Sisi hatulipi kodi na hatuchangii lolote kwenye nchi hii, hapa ndio naona umuhimu wa serikali ya majimbo hili tuachane na huu upumbavu mliomezeshwa.Kama mradi gani? Status ya Dom na Dar ni vitu 2 tofauti na hiyo Miji mingine
Hapa umeongea kwa mihemko na chuki japo naomba utupondee kinafiki ili serikali ituone na ituongezee miradi.Hazipo za kutosha yaani naweza kukupigia picha za Matope utashangaa ni shida tupu..
Jiji zima Lina Barabara Moja ,ndio maana sipendi kuishi kwenye mamiji yenu hya ya kienyeji kienyeji
Mwanza inabarabara tatu kubwa unaposema unapita barabara moja ukiwa unatokea wapi na wapi, Unajijua nyerere road, kenyatta road au makongoro road je hizo ni barabara za mtaani?Jiji kama Mwanza yaani Iko ifike City centre unatumia Barabara Moja ,ukitaka uende Mji ya Mji lazima upite City centre kwenye Barabara Moja hiyo hiyo ,huu ni upuuzi..
Ukiwa Mkolani Ili uende Igoma lazima uje mjini hivyo hivyo na maeneo mengine mwishowe inaonekana Kuna jam kumbe ni ujinga tuu hakuna miundombinu ya kutosha na sio Jam..
Mambo kama haya huwezi yakuta Dodoma au Dar
Barabara zote hizi makutano yake ipo CBD, hapa siwezi bisha kabisa tuna upungufu wa bypass roads, sasa tunasubiri tactic kwenye barabara ya buhongwa mpaka igoma bila kupita mjini.Jiji kama Mwanza yaani Iko ifike City centre unatumia Barabara Moja ,ukitaka uende Mji ya Mji lazima upite City centre kwenye Barabara Moja hiyo hiyo ,huu ni upuuzi..
Ukiwa Mkolani Ili uende Igoma lazima uje mjini hivyo hivyo na maeneo mengine mwishowe inaonekana Kuna jam kumbe ni ujinga tuu hakuna miundombinu ya kutosha na sio Jam..
Mambo kama haya huwezi yakuta Dodoma au Dar
Mi Bado naimani pesa ipo ila serikali vipaumbele vyakeMimi namlaumu Mwendazake Kwa aina ya Vipaombele alivyochukua.
Hii Nchi inahitaji Barabara na sio hayo mareli,Jiji kama la Mwanza licha ya kuwa na Watu wengi hivyo ila halina Barabara kabisa za mitaani na hata zilizopo hazina hadhi ya Jiji
Kabisa bro hapo umeongea ase nchi nyingine inapambana kila Jiji lipate haki sawa wakati huku kwetu wanakazana na majiji ma 2 tuSisi hatulipi kodi na hatuchangii lolote kwenye nchi hii, hapa ndio naona umuhimu wa serikali ya majimbo hili tuachane na huu upumbavu mliomezeshwa.