Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Busan Mwanza ni Moja ya Mikoa Maskini sana hapa Tanzania ,imagine Mkoa una na watu over 4 Mil yet unazidiwa na Arusha Kwa watu kumiliki Visimbuzi..🙆🙆

Rasmi Makao Makuu ya Baraza la Michezo Afrika kuwa Tanzania..

Another milestone for Arusha
 
Siku zote CDM hawajawah sema wanaikubali CCM ata ifanye mambo mazr namna gan watakosoa TU,,hivo binafs chki zako at huw hazina maana nakuonaga kama gehu TU,,utakuta unapost ziara ya wazir mkoa Fulani Sasa najiuliza Kwan ulitaka asiende hko au mbona mwanza ziara kibao za mawazir lakin hatupost maana hakuna maajabu ni kawaida mawaziri kuzuru Kila mkoa.

Kingine ushagakosa thread ambayo Iko active ndo maaana ukandandia hii ya MZ vs AR Kila siku unatma unapuuzwa,,,

Tengeneza thread ya kupondea mwanza TU kadir uwezavyo choice variables
 
Jamaaa ana husda na hajui kuchuja taarifa analeta kama zilivvyo 😂😂hilo ndo tatizo ya kufanya kazi halmashauri mda mrefu ndo maana amekuwa mtu wa majungu na umbea plus husda.
 
jamaaa ana husda na hujui kuchuja taarifa analeta kama zilivvyo 😂😂hilo ndo tatizo ya kufanya kazi halmashauri mda mrefu ndo maana amekuwa mtu wa majungu na umbea plus husda.
Mkuu, wewe umehama Nini?
 
Busan Mwanza ni Moja ya Mikoa Maskini sana hapa Tanzania ,imagine Mkoa una na watu over 4 Mil yet unazidiwa na Arusha Kwa watu kumiliki Visimbuzi..🙆🙆

Hapo tunaangalia preference ya Mtu na Priorities za Watu eneo hilo, unazungumzia Visimbuzi kama kitu cha kudhibitisha Umasikini Vp kuhusu Umiliki wa Magari ambao unadhibitishwa na wingi wa petrol station ⛽ ambapo Mwanza ni ya 2, Vp kuhusu Umiliki wa Simu ambapo Mwanza ni ya 2
 
Washamba ni kina nani kwanza tuanzie hapo ...kabla hatujaliibukia Hilo zizi lako la wavaa misuli
Bro ukweli hakuna ushamba pwani hata tukileta takwimu tambua hilo kabla sijafungua vault utakimbia hapa.!
 
Washamba ni kina nani kwanza tuanzie hapo ...kabla hatujaliibukia Hilo zizi lako la wavaa misuli
Screenshot_20230505-161153.png
 
Back
Top Bottom