Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Vault ipi ....Kwa hyo kwenye majiji ya kijanja utaweka Tanga?
ulisikia wapi kuna washamba ? very smart ni abandoned city still watu hawaonyeshi ushamba bado ni wajuaji huwezi kufananisha na watu wa bara.

Nenda hata south africa then ulizia mabaaria wa kwanza kuzamia beach boys ..ukweli mchungu hata muwe vip ni washamba tunawaona kuanzia hata viongozi wenu hawajuaji hata kuvaa mifano ipo dhahiri.

Sisi ni wajuaje na wabishi in real yaani ukisikia waswahili ndo sisi .
 
Huo uswahili unawasaidia nini ikiwa bado level ya umaskini ni kubwa ..
By the way..Tanga is no longer a city
 
😂😂😂sisi maskini taja mikoa maskini..na weny udumavu wa kula then uje ..

Ukiwa mshamba hamna kitu utanieleza.!
 
Wambie wenzio wa mbeya maana mko group Moja
Screenshot_20230505-165111.png

Mjanja ni mjanja tu maisha assume mji umetelekezwa hakuna cha maana tangu mwaka 90 viwanda kama tegemezi zilishakufa ,plus mkonge na hyo bandari ndo imeanza kufanya kazi mwaka huu kwa uhakika tena mwezi wa 2...Fursa ni chache maana viwanda hamna ila top ten ya maskini hawapo kwa nn wasipongezwe?

Ulisikia mradi gani unajengwa Tanga zaidi ya wa bomba la mafuta ...Ulisikia wapi watu wa Tanga wanalalamika ? still ombaomba ni nadra kuwaona labda uende maduka ya wahindi ila kuzagaa mtaani unaweza usione hata mwaka nzima.
 
View attachment 2611094

Usilazimishe battle na mm utaumia ...........
It's better ustick na mbeya ,,hyo ndo mnawezana ila kwingine utaumia tu..
Size yako ChoiceVariable
 
Nasemaga kila siku Tanga ni pakijanja kuliko mwanza, mtu wa mwanza ukimweka na mtu wa tanga utaelewa. Mwanza maendeleo yameanza jana tu ndio maana malimbukeni.
 
Back
Top Bottom