Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Leo umeangalia Tulia Marathon? Ule sio mji ni kijiji!
Mbeya ni mji uliojaa mabanda na hauna hata gorofa za maana!
Hata Kahama inawakalisha!
Kumbe nilikuwa sijui 😁😁😁😁

Hakuna kujifariji Mwanza ni Jiji la hovyo and shaghalabaghala.
Hivi Kuna mtaa wa Mwanza unaweza Kuta umepimwa wote na hakuna dream houses mabanda kama ilivyo forest Mpya au Iwambi?
 
Kumbe nilikuwa sijui [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

We jamaa ni phycho...hv iwambi utafananisha hata na buswelu?
 
Tunaomba picha ya hio mitaa usikimbie
 
Tunaomba picha ya hio mitaa usikimbie
Nikimbie kwenda wapi? Kila picha ulipiga ya Mwanza lazima uone dream houses za mabanda,ujinga kama huo huwezi Kuta Dom,Dar,Mbeya,Arusha nk

Watu wa mabanda Wana maeneo Yao na watu wa kishua maeneo Yao ila Kwa Mwanza ni kinyume,imagine hata kule Malaika beach wamejenga matajiri yet pembeni unakuta nyumba za mabanda ,the whole City Iko hivyo yaani hovyo kabisa.
 
We jamaa ni phycho...hv iwambi utafananisha hata na buswelu?
Buswelu ilete hapa kama hutoona mabanda ya nguruwe yamechanganyikana na nyumba za kishua,mbaya zaidi ni unplanned..

Huko Iwambi ya washua Iko planned achana na iwambi ya mabanda

Sehemu kama hii ya airport inapakana na mabanda licha ya kuwa na Mandhari mazuri ambayo yangefaa sana kujengwa makazi ya kishua
IMG_20230505_172406_512.jpg
IMG_20230505_172545_354.jpg
[
 
Nikimbie kwenda wapi? Kila picha ulipiga ya Mwanza lazima uone dream houses za mabanda,ujinga kama huo huwezi Kuta Dom,Dar,Mbeya,Arusha nk

Watu wa mabanda Wana maeneo Yao na watu wa kishua maeneo Yao ila Kwa Mwanza ni kinyume,imagine hata kule Malaika beach wamejenga matajiri yet pembeni unakuta nyumba za mabanda ,the whole City Iko hivyo yaani hovyo kabisa.
Wewe jamaa mimi vip zoom hizo picha unitafutie hayo mabanda
2023_02_28_22.46.48.jpg
2023_02_28_22.47.20.jpg
2023_02_28_23.25.43.jpg
2023_02_28_23.27.47.jpg
 
Buswelu ilete hapa kama hutoona mabanda ya nguruwe yamechanganyikana na nyumba za kishua,mbaya zaidi ni unplanned..

Huko Iwambi ya washua Iko planned achana na iwambi ya mabanda

Sehemu kama hii ya airport inapakana na mabanda licha ya kuwa na Mandhari mazuri ambayo yangefaa sana kujengwa makazi ya kishua View attachment 2612413View attachment 2612414[
Hapo umefika au umesimuliwa?
 
Watu wa Mwanza nikifika Hadi Malaika,niliingilia Ile road Ina make junction na airport nikazunguka Hadi kuja kutokea pale stand unapoingia Barabara kubwa..

Yaani kilochonifurahisha ni Kuna view Moja safi na upepo mwanana,pia nimekuta watu wanashusha vitu vya hatari hiyo pande ingawa Kwa mbele tena unavyoeudi Barabara kubwa unaanza kukutana tena na mabanda yenu Yale,hapo tuu ndio mnakera ilitakiwa kuwe na maeneo ya matajiri,vipato vya kati na maskini Sasa Kila kitu kimechangangikana.
IMG_20230505_173234_824.jpg
IMG_20230505_173232_882.jpg
IMG_20230505_172545_354.jpg
IMG_20230505_172406_512.jpg
 
Acha ubwege basi,nimefika hapo Malaika kule airport na sijaona lile jengo lenu la airport inayojengwa yaani Huwa mnaleta render ila structure haipo ni kama vile ujenzi umetelekezwa..
Hauna akili, wewe ulifika airport au kona na igombe?

Unajiganya mjuaji kumbe boya tu
 
Laiti kama vile vimilima vyenu msingeruhusu watu maskini kujenga Mji ungependeza na ungekuwa kivutio Cha Utalii na ungekuwa na hali ya hewa nzuri sana na shombo yote ya Samaki ingekuwa absorbs na uwepo wa miti/greenish kama huku Isamilo
IMG_20230503_175515_104.jpg

Nimekuta DIT inajengwa, nadhani hii Campus ikikamilika wanafunzi watapenda maana itakuwa kama kile Chuo Kiko Kivukoni pale au kama Chuo Cha Taifa Cha Utalii Bagamoyo maana viko kwenye beach.

Pia Kuna Hotel Ile inaitwa Adeni Palace Hotel plus Ile Hospital ya sda Pasiansi ni kubwa japo waliodesign jengo wameinyima architectural authentic
 
Buswelu ilete hapa kama hutoona mabanda ya nguruwe yamechanganyikana na nyumba za kishua,mbaya zaidi ni unplanned..

Huko Iwambi ya washua Iko planned achana na iwambi ya mabanda

Sehemu kama hii ya airport inapakana na mabanda licha ya kuwa na Mandhari mazuri ambayo yangefaa sana kujengwa makazi ya kishua View attachment 2612413View attachment 2612414[
Kwenye hizi picha zote ulizopiga nioneshe hayo mabanda, chuki na husda sio tija, unatakiwa kujifunza kwa waliofanikiwa, Mwanza is far ahead compared to ur shithole cities.
 
Laiti kama vile vimilima vyenu msingeruhusu watu maskini kujenga Mji ungependeza na ungekuwa kivutio Cha Utalii na ungekuwa na hali ya hewa nzuri sana na shombo yote ya Samaki ingekuwa absorbs na uwepo wa miti/greenish kama huku Isamilo
View attachment 2612596

Nimekuta DIT inajengwa, nadhani hii Campus ikikamilika wanafunzi watapenda maana itakuwa kama kile Chuo Kiko Kivukoni pale au kama Chuo Cha Taifa Cha Utalii Bagamoyo maana viko kwenye beach.

Pia Kuna Hotel Ile inaitwa Adeni Palace Hotel plus Ile Hospital ya sda Pasiansi ni kubwa japo waliodesign jengo wameinyima architectural authentic
Tatizo muda mwingine huwa unajitoa fahamu wakati ukweli unaujua we bwege sana😂😂😂😂
 
Ukweli gani nyie wajinga mumeharibu Mji?

Utadhani hakuna viongozi,no order no anything na mbaya zaidi Jiji Lina Giza 90% Taa za barabarani ni za kuunga unga tofauti na Shinyanga,Tabora,Mpanda,Sikonge nk..

Mwisho nimependa pale Hungumalwa -Ngudu naona ilikuwa Kijiji Sasa ni kubwa kuzidi au sawa na Misungwi tuu na panakuja Kasi sana.
 
Watu wa Mwanza nikifika Hadi Malaika,niliingilia Ile road Ina make junction na airport nikazunguka Hadi kuja kutokea pale stand unapoingia Barabara kubwa..

Yaani kilochonifurahisha ni Kuna view Moja safi na upepo mwanana,pia nimekuta watu wanashusha vitu vya hatari hiyo pande ingawa Kwa mbele tena unavyoeudi Barabara kubwa unaanza kukutana tena na mabanda yenu Yale,hapo tuu ndio mnakera ilitakiwa kuwe na maeneo ya matajiri,vipato vya kati na maskini Sasa Kila kitu kimechangangikana.View attachment 2612589View attachment 2612591View attachment 2612593View attachment 2612594
[emoji1787] we jamaa umekuja mji wa watu kwa nini usituulize sisi wenyeji tukupe location mimi niko mwanza kesho weekend nitafute
 
Jitaidi kuzoom au kama una macho ya marienge pole, hizo nyumba ukizoom ni nyumba classic ambazo huwez kuikuta mbeya wala arusha, na hapo kuna barabara mbili na zote ni za lami, moja inaenda bwiru sec na nyingine inaenda bwiru press.
Mpaka hapo unakubaliana kwamba Mwanza ni shaghalabaghala city,angalia hizo picha no mitaa no proper roads licha ya kwamba matajiri wamejenga ..

Uswazi Huwa haukosekani 😁😁View attachment 2612585
 
Ukweli gani nyie wajinga mumeharibu Mji?

Utadhani hakuna viongozi,no order no anything na mbaya zaidi Jiji Lina Giza 90% Taa za barabarani ni za kuunga unga tofauti na Shinyanga,Tabora,Mpanda,Sikonge nk..

Mwisho nimependa pale Hungumalwa -Ngudu naona ilikuwa Kijiji Sasa ni kubwa kuzidi au sawa na Misungwi tuu na panakuja Kasi sana.
Unakufa kwa magonjwa ya moyo na Mwanza huwa inakunyima sana usingizi, na ndoto ya watu wengi ni kufika Mwanza kama ilivyokuwa wewe, tunawakaribish na waluga luga wengine waje Town kutoa tongotongo.
 
Back
Top Bottom