Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Usishindane na Arusha kwenye majengo hutoweza.Siku nyingi sijaenda Arusha hope next year nitaenda pia..

Arusha Iko hot kama Dar usilete mchezo Mzee..

Niliweka kambi maeneo ya Kirumba pale Fimbo Hotel,pale Viwanja vya Furahisha Kuna Ujenzi mkubwa sana unaendelea bila shaka litakuwa jengo kubwa but sio refu ,pia nimeona TBA pia wanajenga kando ya Barabara ya Airport jirani na lile jengo jipya la Hotel ambalo mikdle Huwa anaposti Kila siku 😀😀..

Ila kiukweli Mwanza imebadilika ,miaka 8 ni Mingi nadhani by 2020 itaungana kabisa na Misungwi nimeona ujenzi uko speed upande huo wa Shinyanga Road but shida ni Ile Ile Kwa nini hayo maeneo hampimi viwanja kuwe na proper ujenzi?
Maeneo gani mwanza ambayo hayajapimwa? Weka picha hapa ulizopiga.
 
C691F03C-F198-4278-9697-8DE52EE5F854.jpeg
 
Nimesema hivyo sababu hayo maeneo yate yapo barabarani
Mwanza yenye Barabara za kutafutiza utaenda wapi tofauti na barabarani? Ukisema uingie mtaani kwenye mavumbi utaumiza gari maana gari yangu Iko chini na huwezi zunguka sehemu kubwa maana no mitaa yaani Kila mtu amekariro uchochoro wake 😁😁

Mfano huu uchochoro hapa uliishia kwenye mabanda ya watu no muendelezo.
IMG_20230503_171948_465.jpg
IMG_20230503_171837_100.jpg
 
Umetembelea maeneo gani kiongoz?
Nimetembelea maeneo yaliyo kando kando ya Barabara yanayofokika kama city centre,kirumba,kuja malaika beach ,Igoma,ziwani kule wanauza samaki nk
IMG_20230503_175515_104.jpg
IMG_20230503_170916_379.jpg
IMG_20230505_163159_030.jpg
IMG_20230505_163203_616.jpg
IMG_20230505_162716_179.jpg
IMG_20230503_170916_379.jpg
IMG_20230503_175515_104.jpg
IMG_20230503_103223_935.jpg
 

Attachments

  • IMG_20230505_162646_160.jpg
    IMG_20230505_162646_160.jpg
    1.3 MB · Views: 5
  • IMG_20230505_162553_598.jpg
    IMG_20230505_162553_598.jpg
    1.1 MB · Views: 7
Nimetembelea maeneo yaliyo kando kando ya Barabara yanayofokika kama city centre,kirumba,kuja malaika beach ,Igoma,ziwani kule wanauza samaki nk View attachment 2612800View attachment 2612801View attachment 2612794View attachment 2612795View attachment 2612796View attachment 2612801View attachment 2612800View attachment 2612799
Kiasi umejitahidi lakini bado sana kwa kupita tu kwenye lami hauwezi kusema umetembea maeneo yote muhimu kwa mwanza,
Bado kuna maeneo muhimu na ya hatari haujafika kama bwiru,buswelu/wilayani,buzuruga/mwananchi,nyansaka,maeneo kama ya nyamhongolo usiishie stand ya mabus tu zungukia hata mitaa yake fika mitaa ya taiwan nk,,maeneo yote hayo yamepimwa na barabara zake zinafikika vizuri sana na kuna usafiri wa hiace na bajaji
 
Mwanza yenye Barabara za kutafutiza utaenda wapi tofauti na barabarani? Ukisema uingie mtaani kwenye mavumbi utaumiza gari maana gari yangu Iko chini na huwezi zunguka sehemu kubwa maana no mitaa yaani Kila mtu amekariro uchochoro wake 😁😁

Mfano huu uchochoro hapa uliishia kwenye mabanda ya watu no muendelezo.View attachment 2612792View attachment 2612793
Hizo ni barabara za estates wewe unataka uende wapi, leta barabara kama hizo huko mbeya au arusha, ni seheme gani ulitaka kwenda isiyokuwa na lami au barabara ya mawe, sisi tunalilia barabara kupanuliwa na ukisikia tunalia barabara ujue ni kenyatta na ya airport igombe hatuna shida kama zenu, poleni sana kama mlikuwa mnatafuta sehemu ya kujifariji, ni sehemu gani hapa nchini utakuta barabara mpaka milangoni kwa watu.
 
Mkiwa mnaendelea kusubiri tactic, huku wakazi wa ibanda wanajenga barabara za zege kwa pesa zao wenyewe bila msaada wa serikali wala world bank👇👇👇
IMG-20230506-WA0084.jpg
 
Arusha kuna diversity ya kufa mtu. Wewe usie na exposure mshamba wa mwanza unadhani kila mtu wa arusha ni kabila moja, mimi mbona sio wa huko? Mjini pale kuna kila takataka kuliko mwanza. Arusha hakuna lugha kubwa duniani isiyozungumzwa kwa taarifa yako. Mrisho gambo kabila gani? Lema? Wote hao arusha wamekuja tu kama hujui. Washamba tatizo mmemezeshwa sumu za kijinga na mlivo hamna akili mnakula tu.

Diversity ya nyoko. Angalia behind the scene SANAWARI mnayopigia kelele hapa. Vijumba vya udongo😃😃😃😃. Eti diversity kubwa mijisifa ya kijinga. Au haujui hata maana ya diversity?
 
Arusha kuna diversity ya kufa mtu. Wewe usie na exposure mshamba wa mwanza unadhani kila mtu wa arusha ni kabila moja, mimi mbona sio wa huko? Mjini pale kuna kila takataka kuliko mwanza. Arusha hakuna lugha kubwa duniani isiyozungumzwa kwa taarifa yako. Mrisho gambo kabila gani? Lema? Wote hao arusha wamekuja tu kama hujui. Washamba tatizo mmemezeshwa sumu za kijinga na mlivo hamna akili mnakula tu.
Sasa Lema si mchaga. Diversity unayoiongolea hapa ni kwasababu ya Lema na gambo, stupid!!!!!. Kwendra.......
 
Nikimbie kwenda wapi? Kila picha ulipiga ya Mwanza lazima uone dream houses za mabanda,ujinga kama huo huwezi Kuta Dom,Dar,Mbeya,Arusha nk

Watu wa mabanda Wana maeneo Yao na watu wa kishua maeneo Yao ila Kwa Mwanza ni kinyume,imagine hata kule Malaika beach wamejenga matajiri yet pembeni unakuta nyumba za mabanda ,the whole City Iko hivyo yaani hovyo kabisa.
We senge
 
Back
Top Bottom