Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Maeneo gani mwanza ambayo hayajapimwa? Weka picha hapa ulizopiga.Usishindane na Arusha kwenye majengo hutoweza.Siku nyingi sijaenda Arusha hope next year nitaenda pia..
Arusha Iko hot kama Dar usilete mchezo Mzee..
Niliweka kambi maeneo ya Kirumba pale Fimbo Hotel,pale Viwanja vya Furahisha Kuna Ujenzi mkubwa sana unaendelea bila shaka litakuwa jengo kubwa but sio refu ,pia nimeona TBA pia wanajenga kando ya Barabara ya Airport jirani na lile jengo jipya la Hotel ambalo mikdle Huwa anaposti Kila siku 😀😀..
Ila kiukweli Mwanza imebadilika ,miaka 8 ni Mingi nadhani by 2020 itaungana kabisa na Misungwi nimeona ujenzi uko speed upande huo wa Shinyanga Road but shida ni Ile Ile Kwa nini hayo maeneo hampimi viwanja kuwe na proper ujenzi?