Umeona mabanda hayo?. Asee akili mzigo isijekuwa tunahangaika na teja hapa.Buswelu ilete hapa kama hutoona mabanda ya nguruwe yamechanganyikana na nyumba za kishua,mbaya zaidi ni unplanned..
Huko Iwambi ya washua Iko planned achana na iwambi ya mabanda
Sehemu kama hii ya airport inapakana na mabanda licha ya kuwa na Mandhari mazuri ambayo yangefaa sana kujengwa makazi ya kishua View attachment 2612413View attachment 2612414[