ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hiyo ni kazi ya Serikali kwani hawaoni kwamba Mwanza inahitaji barabaraKwa nini iwe lazima kuingia Katikati ya Mji? Why zisijengwe py pass za kutosha kuepusha msongamano hapo mjini hasa asubuhi na jioni?
Nyumba ya kuishi madirisha kama kanisa, kazi ipo
Busan Mwanza ni Moja ya Mikoa Maskini sana hapa Tanzania ,imagine Mkoa una na watu karibu mil.4 yet unazidiwa na Arusha Kwa watu kumiliki Visimbuzi..[emoji134][emoji134]
Hivyo ni viashiria vya Maendeleo ngazi ya familia acha blaa blaa za kujifariji.Maendeleo sio kisambuzi mwana mtu anamiliki 14pro max ila hta whatsapp ajaweka
ππHivyo ni viashiria vya Maendeleo ngazi ya familia acha blaa blaa za kujifariji.
Wapi Tanga vs Mbeya πππππππ
Hesabu idadi ya kaya kwanza then tubishane ila usitufananishe na washambaWapi Tanga vs Mbeya πππππ
Tanga na Mwanza no difference watu wengi ila maskini π€£π€£
Jamaaa ana husda na hajui kuchuja taarifa analeta kama zilivvyo ππhilo ndo tatizo ya kufanya kazi halmashauri mda mrefu ndo maana amekuwa mtu wa majungu na umbea plus husda.Siku zote CDM hawajawah sema wanaikubali CCM ata ifanye mambo mazr namna gan watakosoa TU,,hivo binafs chki zako at huw hazina maana nakuonaga kama gehu TU,,utakuta unapost ziara ya wazir mkoa Fulani Sasa najiuliza Kwan ulitaka asiende hko au mbona mwanza ziara kibao za mawazir lakin hatupost maana hakuna maajabu ni kawaida mawaziri kuzuru Kila mkoa.
Kingine ushagakosa thread ambayo Iko active ndo maaana ukandandia hii ya MZ vs AR Kila siku unatma unapuuzwa,,,
Tengeneza thread ya kupondea mwanza TU kadir uwezavyo choice variables
Mkuu, wewe umehama Nini?jamaaa ana husda na hujui kuchuja taarifa analeta kama zilivvyo ππhilo ndo tatizo ya kufanya kazi halmashauri mda mrefu ndo maana amekuwa mtu wa majungu na umbea plus husda.
Hapo tunaangalia preference ya Mtu na Priorities za Watu eneo hilo, unazungumzia Visimbuzi kama kitu cha kudhibitisha Umasikini Vp kuhusu Umiliki wa Magari ambao unadhibitishwa na wingi wa petrol station β½ ambapo Mwanza ni ya 2, Vp kuhusu Umiliki wa Simu ambapo Mwanza ni ya 2Busan Mwanza ni Moja ya Mikoa Maskini sana hapa Tanzania ,imagine Mkoa una na watu over 4 Mil yet unazidiwa na Arusha Kwa watu kumiliki Visimbuzi..ππ
Hapana!! huyo choice mzee wa kuleta taarifa za uongo dailyMkuu, wewe umehama Nini?
Washamba ni kina nani kwanza tuanzie hapo ...kabla hatujaliibukia Hilo zizi lako la wavaa misuliHesabu idadi ya kaya kwanza then tubishane ila usitufananishe na washamba
Hapo mbeya anataka kufananisha Mbeya na Tanga..Washamba ni kina nani kwanza tuanzie hapo ...kabla hatujaliibukia Hilo zizi lako la wavaa misuli
Bro ukweli hakuna ushamba pwani hata tukileta takwimu tambua hilo kabla sijafungua vault utakimbia hapa.!Washamba ni kina nani kwanza tuanzie hapo ...kabla hatujaliibukia Hilo zizi lako la wavaa misuli
Washamba ni kina nani kwanza tuanzie hapo ...kabla hatujaliibukia Hilo zizi lako la wavaa misuli