Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Umeona mabanda hayo?. Asee akili mzigo isijekuwa tunahangaika na teja hapa.
 
Acha ubwege basi,nimefika hapo Malaika kule airport na sijaona lile jengo lenu la airport inayojengwa yaani Huwa mnaleta render ila structure haipo ni kama vile ujenzi umetelekezwa..
Hicho ni kipimo Tosha Cha kuonyesha unahangaika na eneo usilolijua. Yaani kafika mwanza airport halafu hajaona structure ya jengo la abiria🤔🤔. Kigagula.com
 
Mwanza Tourist Hotel pekee ndio walau linapamba Mwanza na likikamilika litapendeza zaidi.

Utakutana na mtu anakwambia eti Arusha inategemea majengo ya serikali Sasa sijui hili ni la nani [emoji23][emoji23]
Kiongoz mbona haunijibu nimekuuliza upo wapi nikutembeze kwa gharama zangu mimi
 
Hicho ni kipimo Tosha Cha kuonyesha unahangaika na eneo usilolijua. Yaani kafika mwanza airport halafu hajaona structure ya jengo la abiria🤔🤔. Kigagula.com
Mji hauna mitaa Wala Barabara ni Mji gani huo? Hovyo kabisa
 
Mwanza Tourist Hotel pekee ndio walau linapamba Mwanza na likikamilika litapendeza zaidi.

Utakutana na mtu anakwambia eti Arusha inategemea majengo ya serikali Sasa sijui hili ni la nani 😂😂
Angalia ratio ya majengo ya serikalo kati ya Mwanza na Arusha, 90% ya majengo ya arusha ni ya serikali, lakini mwanza ni 10% ndio ya serikali.
 
Narudia tena nitafute mimi nipo mwanza nitakutembeza kwa gharama zangu sitaki urudi kwenu ukiwa umejaa ujinga kama huu

Leo ni weekend mda ninao wa kutosha kwanzia sasa hivi

Yaaani unakuja mwanza unaenda kirumba,malaika,igoma sijui na wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha kujichoresha kijana
Nataka nikuonyeshe jiji la mwanza lilivyo kesho uje na uzi wa kuisifia mwanza
 
Mji hauna mitaa Wala Barabara ni Mji gani huo? Hovyo kabisa
Tatizo umeenda na fixed mind .. kwamba mwanza ipo hovyo ...ulitakiwa akili yako iwe flexible tofauti na hapo ni chuki tu zinakuendesha ...unasema mwanza barabara tatu unakuwa umeimaliza lakin bado hujatembelea kiseke to buswelu,,bado hujatembelea pasiansi road to buzuruga.......na Sina hakika kama umetembelea musoma road....
Anyway tunakubali kuwa suala la taa za barabarani ni tatizo...
Suala la kuita nyumba za watu mabanda koma ....hivi dodoma ni mtaa gani ambao ni utakuta matajiri tu wamejenga..kwanza dodoma ni mtaa gani wa matajiri..
Arusha nyuma ya Hilo jengo hapo Philips ni mabanda tu .
 
Sasa Lema si mchaga. Diversity unayoiongolea hapa ni kwasababu ya Lema na gambo, stupid!!!!!. Kwendra.......
Sasa kwani arusha ni origin ya wachagap? Ficha ujinga. Alafu kumbe ata diversity huelewi maana yake. Unaongelea slums.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Inauma si ndio? Mwanza bwana even main main roads zimejaa viraka mbaya yaani ni shida Kila sehemu [emoji3][emoji3]
Hizo main road za kenyata road na musoma road zinakuwa decongested to dual carriage muda wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…