Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Umewahi kuona imetangazwa hata tender? [emoji1787][emoji1787]

Au inajengwa sehemu gani hapo uswazi City?
Kwani nini maana ya kuanza manunuzi..au hyo elimu yako ya uhandisi inakusaidia kwenye kusukuma chapati tu...

endelea kugugumia Kwa maumivu makali[emoji116]
Inajengwa nata junction

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…