ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Acha uchonganishi wewe π€£π€£Sio maneno yangu ni choice variableππ
View attachment 2627339
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Quality Control Kitombile
Atakayeiona Mwanza hapa nampa Laki ya fasta [emoji16][emoji16]View attachment 2628359
Patakua ni Kitangiri
Arusha na mbeya haijatosha unongeza na kilimanjaro, na baadae utaweka na mikoa mingine, hili jiji la Mwanza ni balaa.Doto
Hako ka mandhari kanawatisha watu wa mbeya, huku mwanza kuna hiiππ
Kama kawaida uswazi plus ushuani ππHako ka mandhari kanawatisha watu wa mbeya, huku mwanza kuna hiiππ
View attachment 2629619
View attachment 2629616
Hapo hamna ushuani hiyo ni watu wa kipato cha kati tu na watu kama wewe, ukitaka sehemu za ushuani we sema nikuletee ushua wenyewe.Kama kawaida uswazi plus ushuani ππ
Mwanza hakuna ushuani hata hivyo ,wote ni shaghalabaghala tuu ππHapo hamna ushuani hiyo ni watu wa kipato cha kati tu na watu kama wewe, ukitaka sehemu za ushuani we sema nikuletee ushua wenyewe.
Wivu utakusababishia strokeπππMwanza hakuna ushuani hata hivyo ,wote ni shaghalabaghala tuu ππ