Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mwanza tunaijenga wenyewe, favour zote wapeleke Arusha na Dodoma ila nafasi yetu katika rank iko pale pale aminini maneno yangu.
Loosers wa Mwanza mnaitia huruma sana 😁😁
This is Arusha πŸ‘‡
 
Sicheki Kwa mazuri ila nawacheka wanaojiita Jiji la pili Kwa Ukubwa,sie tulishazoea kitambo
subiri nikiwa Rais huu ujinga utaisha wa kujali jiji moja, hakika Dar itakuwa kama lindiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…