Qualitycontrol
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 777
- 498
Capri point ndo wapi ukoKakipande kadogo ka Capri point [emoji3][emoji3]
Kuna watu wanaiweka ligi moja na njiro[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Capri point ndo wapi ukoKakipande kadogo ka Capri point [emoji3][emoji3]
Kuna watu wanaiweka ligi moja na njiro[emoji1787]
Karibu Mwanza mkuu, utajua kama ni mji mdogo au la! Suala la kuweka hapo station hakuna ubaya kwasababu TRC walikuwa na eneo lao hapo tena kubwa sana.... Mbona hata Dar wameweka station yao hapo mjini kati.Duh sasa mbona Mwanza karibia kila kitu Kiko karibu karibu ,ina mana mji mdogo au hamna maeneo mengine
Hiki ni kimtaa ambacho arusha hakuna kama hiki.Hiki nini
Itaongeza GDP ya mkoa wa arusha?
Hivi ile ICC huwa ni ya haki za wanyama haya mambo yanachanganya sana.
Hilo jengo la mahakama litainua uchumi wa Arusha😂😂😂Itaongeza GDP ya mkoa wa arusha?
AICC huw ni ukumbi wa mikutano wa kimataifa ,huu ni tofauti kabisa na hii mahakamaHivi ile ICC huwa ni ya haki za wanyama haya mambo yanachanganya sana.
Yani lazima iongeze kwanin isiongeze mkuu mana hapo hapo patakuwa na shule,hotel n.k ,vile vile Jiji la Arusha Litazidi kujitanua kidiplomasia..Na hii Iko nje kabisa ya Jiji la arushaItaongeza GDP ya mkoa wa arusha?
Mtazid kupaa kimataifa, acha sisi Mwanza tulie kwanza na barabara.Yani lazima iongeze kwanin isiongeze mkuu mana hapo hapo patakuwa na shule,hotel n.k ,vile vile Jiji la Arusha Litazidi kujitanua kidiplomasia..Na hii Iko nje kabisa ya Jiji la arusha
Nje ya Mji ni full uswazi 😂😂Duh sasa mbona Mwanza karibia kila kitu Kiko karibu karibu ,ina mana mji mdogo au hamna maeneo mengine
Maskini roho inakuuma 😂😂😂Itaongeza GDP ya mkoa wa arusha?
Kumbe[emoji23][emoji23] mana siumeona hapo Ilo eneo litakalojengwa Mahakama ya kimataifa ya haki za Binadamu ni nje sana ya Jiji la Arusha, hata ghorofa ilo la makao makuu ya posta pia ni nje ya arusha ,lakini ukiangalia Mwanza vitu vyote Majengo yote makubwa yamejengwa karibu karibu sasa unajiuliza ni hawana maeneo au hapo penywe ndio city center..hi inamanisha kwamba Mwanza CBD yake ni ndogo mnoNje ya Mji ni full uswazi [emoji23][emoji23]
Hata Addis Ababa Ina HQ ya AFRICA lakin doesn't make it superior to even DurbanMaskini roho inakuuma [emoji23][emoji23][emoji23]
Na Bado Makao Makuu ya Baraza la Michezo Kanda ya 14 ya Africa ,Tanzania ndio ilichaguliwa kuwa Makao Makuu na Arusha ndiko Sekretariet itakuwepo..
Pia Makao Makuu ya EAC mbioni kuanza Ujenzi wake
Mwanza maji mtaita mmaaa,Bora uhamie hata Mbeya maana sie tumepoozwa Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo 8/8 ,walivyo mbwa wakaona waweke na Dom yaani.
Chuga [emoji91][emoji91]
View attachment 2644090View attachment 2644091
Kweli kabisa CBD ni ndogo na majengo yapo karibu karibuKumbe[emoji23][emoji23] mana siumeona hapo Ilo eneo litakalojengwa Mahakama ya kimataifa ya haki za Binadamu ni nje sana ya Jiji la Arusha, hata ghorofa ilo la makao makuu ya posta pia ni nje ya arusha ,lakini ukiangalia Mwanza vitu vyote Majengo yote makubwa yamejengwa karibu karibu sasa unajiuliza ni hawana maeneo au hapo penywe ndio city center..hi inamanisha kwamba Mwanza CBD yake ni ndogo mno
Utakufa kwa wivu😝😝😝Nje ya Mji ni full uswazi 😂😂
Durban utalinganisha na Addis? Wewe utakuwa mshamba wa MaswaHata Addis Ababa Ina HQ ya AFRICA lakin doesn't make it superior to even Durban
Ulinganishe na nini sasa ....labda uswazi city yenu DarDurban utalinganisha na Addis? Wewe utakuwa mshamba wa Maswa
Hata kama Arusha imewachanganya ila Durban ni Kijiji tuu Kwa AddisUlinganishe na nini sasa ....labda uswazi city yenu Dar