Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Bas dar ni pazuri kuliko Berlin [emoji116]View attachment 2644627
Ni kweli Dar ni nzuri kuliko Berlin ni vile tuu Kuna uswazi na miundombinu dini
20230603_133141.jpg
20230603_133144.jpg
20230603_133149.jpg
20230603_133147.jpg
20230603_133237.jpg
20230603_133243.jpg
20230603_133240.jpg
20230603_133257.jpg
20230603_133246.jpg
20230603_133303.jpg
20230603_133259.jpg
20230603_133428.jpg
20230603_133425.jpg
20230603_133430.jpg
20230603_133446.jpg
20230603_133443.jpg
 
Punguza mihemko, huku ulikofikia siko, hiyo dar ikashindane kwanza na Harare, then iende hapo Nairobi ikitoka ikashindane na majiji ya south Africq kabla haijafika kushindana na majiji ya Europe, asia na America..
Hapa ni baadhi ya maeneo ya Berlin nchini Germain👇👇
Screenshot_20230603-152118_1685795159102.jpg
Screenshot_20230603-152052_1685795197628.jpg
Screenshot_20230603-152033_1685795246479.jpg
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]mambo moto mjengo mpya unashushwaaView attachment 2644747
Kama hayo ni mambo moto je hapa chini ni zaidi ya volcano magma👇👇
IMG-20230601-WA0079.jpg

Angalia hapo palipozungushiwa mabati ilo eneo wataanza ujenzi wa hotel ya nyota saba, ghorofa 25 kwenda juu lakini sisi wana Mwanza hata Haturingi tupo normal tu.
 
Kama hayo ni mambo moto je hapa chini ni zaidi ya volcano magma[emoji116][emoji116]
View attachment 2644764
Angalia hapo palipozungushiwa mabati ilo eneo wataanza ujenzi wa hotel ya nyota saba, ghorofa 25 kwenda juu lakini sisi wana Mwanza hata Haturingi tupo normal tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa pontetial ipi ya kujenga 7 stars Mwanza?
 
Kama hayo ni mambo moto je hapa chini ni zaidi ya volcano magma👇👇
View attachment 2644764
Angalia hapo palipozungushiwa mabati ilo eneo wataanza ujenzi wa hotel ya nyota saba, ghorofa 25 kwenda juu lakini sisi wana Mwanza hata Haturingi tupo normal tu.
Kama choice alivo sema Mwanza sehemu nyingi uswazi kwingi embu cheki ghorofa hilo linalojengwa sehemu scattered kama hiyo
 
Hizi mbona ni render leta project ikiwa[emoji91][emoji91]..alafu mbna Kuna Arusha university kitambo
Acha ujinga tulikuwa tunaongelea city college, now wanajenga chuo kikuu kabisa, kama unataka ujenzi unavyoendelea nitaweka picha hapa.
 
Back
Top Bottom