Qualitycontrol
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 777
- 498
Arusha ndo habari ya dunia kwa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshawajuza huko wamepita kimya kimya wengine wanatukana hovyo 😁😁Arusha ndo habari ya dunia kwa sasaView attachment 2639293
Jamaa kakujibu vizuri kabisa kuwa Mwanza haikui kwa utashi wa kisiasa, wewe mwenyewe unaona jinsi serikali ya hawamu hii inafanya mambo kama vile kuikomoa Mwanza wakizani wataidhoofisha, sisi yetu macho tu.Nimeshawajuza huko wamepita kimya kimya wengine wanatukana hovyo 😁😁
Dom CBDwanataka Mwanza liwe jiji la kale lililopotea kama kilwa kivinje
inajitaidi lakini kwa matrillion ya pesa yanayotupwa hapo yangewekezwa Mwanza hakika tungekuwa kama Jo"berg
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanataka Mwanza liwe jiji la kale lililopotea kama kilwa kivinje
[emoji23][emoji23][emoji23]mtakomainajitaidi lakini kwa matrillion ya pesa yanayotupwa hapo yangewekezwa Mwanza hakika tungekuwa kama Jo"berg
hii awamu mpaka kuja kumaliza muda wake basi Mwanza itakuwa imeona moto, ila kila jambo lina muda wake.[emoji23][emoji23][emoji23]mtakoma
Mwanza tunaijenga wenyewe, favour zote wapeleke Arusha na Dodoma ila nafasi yetu katika rank iko pale pale aminini maneno yangu.hii awamu mpaka kuja kumaliza muda wake basi Mwanza itakuwa imeona moto, ila kila jambo lina muda wake.
Loosers wa Mwanza mnaitia huruma sana 😁😁Mwanza tunaijenga wenyewe, favour zote wapeleke Arusha na Dodoma ila nafasi yetu katika rank iko pale pale aminini maneno yangu.
Sicheki Kwa mazuri ila nawacheka wanaojiita Jiji la pili Kwa Ukubwa,sie tulishazoea kitambosunk naona unacheka lakini mtaendelea kunyonywa na hilo lijiji lenu la kipindupindu
subiri nikiwa Rais huu ujinga utaisha wa kujali jiji moja, hakika Dar itakuwa kama lindi😂😂😂😂Sicheki Kwa mazuri ila nawacheka wanaojiita Jiji la pili Kwa Ukubwa,sie tulishazoea kitambo
Ilo jengo litakomaAsee sio SA hapa ni ArushaView attachment 2640719
Unafurahia haka kajenga wakati huo barabara zenu na majiji mengine ni mabonde na matope, na muda huo TAMISEMI wanapeleka bilion 800 zingine kwenye miundombinu ya jiji lenu la Dar kwenye mradi wa DMDP.Asee sio SA hapa ni ArushaView attachment 2640719