Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Duh sasa mbona Mwanza karibia kila kitu Kiko karibu karibu ,ina mana mji mdogo au hamna maeneo mengine
Karibu Mwanza mkuu, utajua kama ni mji mdogo au la! Suala la kuweka hapo station hakuna ubaya kwasababu TRC walikuwa na eneo lao hapo tena kubwa sana.... Mbona hata Dar wameweka station yao hapo mjini kati.
 
Itaongeza GDP ya mkoa wa arusha?
Maskini roho inakuuma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na Bado Makao Makuu ya Baraza la Michezo Kanda ya 14 ya Africa ,Tanzania ndio ilichaguliwa kuwa Makao Makuu na Arusha ndiko Sekretariet itakuwepo..

Pia Makao Makuu ya EAC mbioni kuanza Ujenzi wake

Mwanza maji mtaita mmaaa,Bora uhamie hata Mbeya maana sie tumepoozwa Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo 8/8 ,walivyo mbwa wakaona waweke na Dom yaani.
Chuga πŸ”₯πŸ”₯
 
Nje ya Mji ni full uswazi [emoji23][emoji23]
Kumbe[emoji23][emoji23] mana siumeona hapo Ilo eneo litakalojengwa Mahakama ya kimataifa ya haki za Binadamu ni nje sana ya Jiji la Arusha, hata ghorofa ilo la makao makuu ya posta pia ni nje ya arusha ,lakini ukiangalia Mwanza vitu vyote Majengo yote makubwa yamejengwa karibu karibu sasa unajiuliza ni hawana maeneo au hapo penywe ndio city center..hi inamanisha kwamba Mwanza CBD yake ni ndogo mno
 
Hata Addis Ababa Ina HQ ya AFRICA lakin doesn't make it superior to even Durban
 
Kweli kabisa CBD ni ndogo na majengo yapo karibu karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…