Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hamna kitu linganisha mwenyewe hapo au bahari imekuchanganya?

Nyie ndio Huwa mnasema Dar is Slum imezidi Nairobi πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…
 
Hamna kitu linganisha mwenyewe hapo au bahari imekuchanganya?

Nyie ndio Huwa mnasema Dar is Slum imezidi Nairobi [emoji23][emoji1787][emoji28]
Yaan Addis Ababa imepumuliwa na fourth largest city in SA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama Mount Meru Hotel ni nje ya mji na Uzunguni ni nje ya mji hadi Phillips basi CBD ni ndogo sana, Mwanza naijua na Arusha nakukalisha pote nakuzidi kupafahamu wewe na bwana Sunk Fallacy a.k.a ChoiceVariable kuna unabusha twende eneo kwa eneo...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Sawa kama unataka twende eneo kwa eneo tutaenda vile vile ...mana aiwezekan drone view ikipigwa mwanza maghorofa yote ya muhimu yanaonekana pia na hapo hapo ndo wanapojenga kila kitu kwamba hamna sehemu nyingine ya kujenga?
 
Arusha Mall kwa sasa limefunguliwa[emoji91][emoji91] Mwanza sasa Bado Mko na mall lenu moja [emoji23][emoji23]
 
Sawa kama unataka twende eneo kwa eneo tutaenda vile vile ...mana aiwezekan drone view ikipigwa mwanza maghorofa yote ya muhimu yanaonekana pia na hapo hapo ndo wanapojenga kila kitu kwamba hamna sehemu nyingine ya kujenga?
kwamba ukipiga Drone unaona hadi TMDA Buzuruga...?! unaona hadi Isamilo hadi Nera...?!

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Wewe jamaa hauna akili yaaani Addis unaiweka ligi moja na Durban

Unapima uzuri wa mji kwa wingi wa skyscrapers 🀣🀣🀣 hauna akili wewe
Uzuri wa Arusha vs Mwanza ni nini kama sio wingi wa skycrappers? Kinyume na hapo Arusha Ina uzuri gani wa kushinda Mwanza?

Acha kuifananisha Addis na vitu vya kijinga kijinga kima wewe πŸ˜…πŸ˜…
 
Acha kuifananisha Addis na vitu vya kijinga kijinga kima wewe [emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..ko tukitoa skyscraper Arusha haina Cha kuizidi Mwanza....
Dodoma na Mwanza je
 
Uzuri wa Arusha vs Mwanza ni nini kama sio wingi wa skycrappers? Kinyume na hapo Arusha Ina uzuri gani wa kushinda Mwanza?

Acha kuifananisha Addis na vitu vya kijinga kijinga kima wewe [emoji28][emoji28]
Bas dar ni pazuri kuliko Berlin [emoji116]
 
Uzuri wa Arusha vs Mwanza ni nini kama sio wingi wa skycrappers? Kinyume na hapo Arusha Ina uzuri gani wa kushinda Mwanza?

Acha kuifananisha Addis na vitu vya kijinga kijinga kima wewe πŸ˜…πŸ˜…
Upo sahihi Arusha haiwezi kuizidi uzuri Mwanza, tatizo lako hakko ka skysrapper ka PAPU kanakuchanganya sana.
 
Uzuri wa Arusha vs Mwanza ni nini kama sio wingi wa skycrappers? Kinyume na hapo Arusha Ina uzuri gani wa kushinda Mwanza?

Acha kuifananisha Addis na vitu vya kijinga kijinga kima wewe [emoji28][emoji28]
Tatizo wewe chawa umezungukwa na wapuuzi

Addis level zake ni dar,nairobi,luanda na miji mingine kama hio ya mihangaiko[emoji3]

Durban ni ulaya ndogo maeneo kama ballito,la lucia,umhlanga,morningside na ukija kwenye estate,beaches,infrastructure nk utakimbia

Arusha na Mwanza bado ni miji ya kimaskini huku tunatambiana hadi idadi ya ving'amuzi

Twende taratibu unataka nini kuhusu Durban nipo hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…