Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Nipo hapa nyegezi bus terminal mambo ni fire 🔥 karibuni katika ufunguzi huu
Naomba mtupie mapicha picha wengine hatupo Mwanza! Honestly Mwanza kwa project za ujenzi wa gorofa nahisi inapamabana na Dar maana ninachokiona Dar maeneo yenye site nyingi za ujenzi wa gororfa ni kariakoo the rest ni project za serkali na mashirika yake!
Maeneo mengine kama Tabata ,Sinza na kinondoni hamana ujenzi hata maeneo ya Mwenge kuelekea Morocco bado hakuna site mpya inayojengwa!
 
Sijakuelewa unachomanisha
 
Sijakuelewa unachomanisha
Namaanisha kuwa Mwanza ujenzi wa site ni mwingi sana hasa site za Gorofa! Ila kwa upande wa Dar ujebnzi sio mwingi sana upo kiasi kariakoo tu! Ila posta mpya ,sinza, Tabata ,kinondoni site ni chache sana!.Hiyo inaonesha jinsii gani Mwanza iliongoza!. Pia Mwanza kwenye sensa kwa nyumba zinazoendelea na ujenzi iliongoza kitaifa na uipiku mpaka Dar!
 
Sawa ila ujue ujenzi utaenda kwa awamu sio kwamba ni project ya jengo kubwa kama PAPU! Hapana! Awamu ya kwanza itagharimu bil 10!
Ndio ila kutakuwa na facilities kibao humo ndani kama.viwanja,shule za Watoto, hospital nk
 
Hujaona Dodoma mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…