Hivi vitu hata itumba unakutana navoMwanza hata majengo mafupi yanapigiliwa misumari ya uhakika
Hivi vitu hata itumba unakutana navo
Hivi vitu hata itumba unakutana navo
Hakika capripoint ndio baba lao.View attachment 2647333
Angalia vizuri hiyo touch ya mwisho, Capri point yote Ina sifa hizi kama hujui Anza kujifunza leo
Hapo pa kawaida bro ...alafu Mwanza kwa kishua ni hapo Capri point tu?View attachment 2647333
Angalia vizuri hiyo touch ya mwisho, Capri point yote Ina sifa hizi kama hujui Anza kujifunza leo
Na arusha wapi pa kishua?Hapo pa kawaida bro ...alafu Mwanza kwa kishua ni hapo Capri point tu?
Naomba uwe unanitumia Whatsapp picha za Majengo na shida nazo sehemuMwanza wanajenga maghorofa kama ujugu[emoji3][emoji3] now site za majengo ya ghorofa ni balaaa
Kesho nataka niingie location nyegezi stand + majengo mapya[emoji95][emoji95][emoji95]Naomba uwe unanitumia Whatsapp picha za Majengo na shida nazo sehemu
Hapo itaupiga mwingi. ...sanaKesho nataka niingie location nyegezi stand + majengo mapya[emoji95][emoji95][emoji95]
Hayo maghorofa mbona hatuyaoniMwanza wanajenga maghorofa kama ujugu[emoji3][emoji3] now site za majengo ya ghorofa ni balaaa
Kapitie report ya sensa utaona takwimu zinavyosema si lazima uyaone hapa. Pia Ukipata muda safiri ukajionee.Hayo maghorofa mbona hatuyaoni
Ziko wapi? Wapi ambako hawajengi magorofa? Bado hamuwezi ikuta Kasi ya Arusha..Mwanza wanajenga maghorofa kama ujugu[emoji3][emoji3] now site za majengo ya ghorofa ni balaaa
Punguza wivu, arusha haiwezi hizid mwanza kwa kasi ya ujenzi wa nyumba pamoja na maghorofaZiko wapi? Wapi ambako hawajengi magorofa? Bado hamuwezi ikuta Kasi ya Arusha..
Kwa private sekta katika ujenzi wa magorofa naomba uwe mpole tu! Mwanza iko juu! Ulishawahi kujiuliza pamoja na Arusha kuwa na taasisi kibao za kimataifa kufanya kazi pale lakini bado Mwanza ni kubwa na maendeleo yake yako juu kwa kasi kubwa! Naiona Mwanza ikiwa juu sana maana sasa hivi kuna project ya Reli SGR ambayo Arusha haitegemei kuipata miaka hata 50 ijayo!Ziko wapi? Wapi ambako hawajengi magorofa? Bado hamuwezi ikuta Kasi ya Arusha..
Sasa huo ujuu wenu uko wapi ikiwa Arusha Ina gorofa mara 3 ya Mwanza Kwa mujibu wa sensa?Kwa private sekta katika ujenzi wa magorofa naomba uwe mpole tu! Mwanza iko juu! Ulishawahi kujiuliza pamoja na Arusha kuwa na taasisi kibao za kimataifa kufanya kazi pale lakini bado Mwanza ni kubwa na maendeleo yake yako juu kwa kasi kubwa! Naiona Mwanza ikiwa juu sana maana sasa hivi kuna project ya Reli SGR ambayo Arusha haitegemei kuipata miaka hata 50 ijayo!
Mwanza ipi? Ile Ile niliyoiona au Kuna Mwanza nyingine tofauti? Labda vijumba vya kawaida mtakuwa navgo vingi maana mko wengi pia ila kwenye magorofa hakuna kitu hapo Mwanza,Kasi yake ni sawa tuu na Mbeya 😁😁Punguza wivu, arusha haiwezi hizid mwanza kwa kasi ya ujenzi wa nyumba pamoja na maghorofa