Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hivi vitu hata itumba unakutana navo
IMG-20230605-WA0066.jpg
 
Ziko wapi? Wapi ambako hawajengi magorofa? Bado hamuwezi ikuta Kasi ya Arusha..
Kwa private sekta katika ujenzi wa magorofa naomba uwe mpole tu! Mwanza iko juu! Ulishawahi kujiuliza pamoja na Arusha kuwa na taasisi kibao za kimataifa kufanya kazi pale lakini bado Mwanza ni kubwa na maendeleo yake yako juu kwa kasi kubwa! Naiona Mwanza ikiwa juu sana maana sasa hivi kuna project ya Reli SGR ambayo Arusha haitegemei kuipata miaka hata 50 ijayo!
 
Sasa huo ujuu wenu uko wapi ikiwa Arusha Ina gorofa mara 3 ya Mwanza Kwa mujibu wa sensa?

Hiyo private sector unayoisemea Iko more vibrant na mature Kwa Arusha kuliko huko Mwanza..

Nature ya economic activities za Arusha ndio zinafanya wajenge magorofa ,Utalii ni uhakika wa pesa
 
Punguza wivu, arusha haiwezi hizid mwanza kwa kasi ya ujenzi wa nyumba pamoja na maghorofa
Mwanza ipi? Ile Ile niliyoiona au Kuna Mwanza nyingine tofauti? Labda vijumba vya kawaida mtakuwa navgo vingi maana mko wengi pia ila kwenye magorofa hakuna kitu hapo Mwanza,Kasi yake ni sawa tuu na Mbeya 😁😁
 
Back
Top Bottom