Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mwanza ipo juu ya Arusha almost kwa kila kitu except ile hali ya ubaridi
 
Mwanza uwez linganisha na Arusha. Ni miji iliyopishana sana haikaribiani hata.
Mwanza imeupiga mwingi kitambo icho enzi izo.

Arusha imezidi Mwanza labda kwa usafi tu.
 
Yaani Mwanza ulingalishe na kijiji cha wavuta bhangi wa Arusha!! Hebu acha utopolo basi wakuu!!
 
chuga ipo juu kaka hakimu...kama ni vyuo chuga vipo vya kumwaga....watoto wa kali ndio usiseme chuga ndio jiji lenye watoto wakali nchi hii
 
umeshawahi kufima chuga wewe?
 
Arusha ni mji wa kitalii na fursa zake zinahitaji mtaji mkubwa
Mwanza ni mji wa watu wengi wa hali ya chini unaweza kufanya biashara ndogo ndogo
kwahiyo kama ni bata la hela ndefu hata Dar haiingi kwa Arusha mkuu
Hii Arusha hua ni kuikuza kuza hakuna lolote...mimi ninafanya kazi hapa Arusha mwaka wa tisa sasa na nyumbani kwangu ni Mwanza,maelezo mengi wala hayasaidii nitajichosha bure, Arusha mnaikuza bure tu haina la kutisha sana,kila kukicha mnaongelea watalii ambao wakishuka wanapotelea huko Karatu,Ngorongoro na Serengeti,Arusha ni mikwara tu mzee ni ya kawaida na inaziwa kwa 80% na Mwanza
 
Arusha ni mji wa kitalii na fursa zake zinahitaji mtaji mkubwa
Mwanza ni mji wa watu wengi wa hali ya chini unaweza kufanya biashara ndogo ndogo
kwahiyo kama ni bata la hela ndefu hata Dar haiingi kwa Arusha mkuu
hapo umetuuza bhana mdaz kusema kwa bata hata dar haiingii kwa chuga....kama umefika dar bas huwez linganisha bata la dar na mji wowote hapa bongo....tutakuwa tunadanganyana ...dar itabaki kuwa dar na wala hatuhitaji kuiongelea hapa sababu dar ndio tz
 
waswahili wanasema mkataa kwao mtumwa...sasa bhana Gtax usije ukawa unaisifia sana mwanza kwakuwa ni nyumbani kama ulivyosema mwenyewe.
.unaambiwa Arusha ni nusu ya uingereza kwa maelezo ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…