shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,150
Kumbe ni wanasafir kabisa na tiket wanapewa [emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe haujui hata maaana ya daladala [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kutoka sokoni 1 kwenda usa river unapita mashamba mangapi[emoji1787][emoji1787]
Ukiona mji unaokaa hauna international logistics agency huo mji Hilo ni zizi [emoji16][emoji16][emoji16]Deal done
Bora urudi ulikotokaHabari zenu wanajamvi kiufupi mi ni mgeni hapa ila hili jambo ni kama silifurahii sana, Hivi ni kwanini watanzania mmeamua kutambiana kuhusu sehemu moja dhidi ya nyingine, ukiangalia karibu 90% ya tunavyotambiana ni Government implementation ni vitu ambavyo havihamliwi na wakazi wa sehemu husika bali ni mpaka serikali ihamue,mi nafikiri tujikite katika kuleta hoja za kuikumbusha na kuishauri serikari kuhusu mambo ambayo yakifanyika mji fulani yataleta mchango mkubwa katika eneo husika, tukiendelea na mada hizi itafika mahali watu wasehemu moja watahisi wenzao wasehemu nyingine wanapendelewa zaidi kumbe hata hao tunaoona wanapendelewa nao bado wapo kwenye safari ya kujikomboa mwishowe chuki zitaanza kidogokidogo mwisho tutaingia kwenye kubaguana, Napendekeza hizi battle za majiji na miji ziishe tulete uzi za kuzikumbusha mamlaka zituletee miundombinu itakayotusukuma mbele! Naomba kuwasilisha!
Hivi bro we unachangia kipi katika kufanya walau Tanzania tunakuwa na miji mizuri, kwanini we umekaa kufarakanisha watanzania?Mwanza is Slum Wamejambishwa tena na Arusha [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2681315
Hamna kutambiana Bali ni kujifurahisha tuHabari zenu wanajamvi kiufupi mi ni mgeni hapa ila hili jambo ni kama silifurahii sana, Hivi ni kwanini watanzania mmeamua kutambiana kuhusu sehemu moja dhidi ya nyingine, ukiangalia karibu 90% ya tunavyotambiana ni Government implementation ni vitu ambavyo havihamliwi na wakazi wa sehemu husika bali ni mpaka serikali ihamue,mi nafikiri tujikite katika kuleta hoja za kuikumbusha na kuishauri serikari kuhusu mambo ambayo yakifanyika mji fulani yataleta mchango mkubwa katika eneo husika, tukiendelea na mada hizi itafika mahali watu wasehemu moja watahisi wenzao wasehemu nyingine wanapendelewa zaidi kumbe hata hao tunaoona wanapendelewa nao bado wapo kwenye safari ya kujikomboa mwishowe chuki zitaanza kidogokidogo mwisho tutaingia kwenye kubaguana, Napendekeza hizi battle za majiji na miji ziishe tulete uzi za kuzikumbusha mamlaka zituletee miundombinu itakayotusukuma mbele! Naomba kuwasilisha!
Kama ni just for funny tusitumie lugha ngumu kaka watu wanatupiana maneno makali mpaka inaleta shaka aisee, all in all taifa letu moja kila mtu ajenge anapowezaHamna kutambiana Bali ni kujifurahisha tu
Lugha ngum ipi imetumikaKama ni just for funny tusitumie lugha ngumu kaka watu wanatupiana maneno makali mpaka inaleta shaka aisee, all in all taifa letu moja kila mtu ajenge anapoweza
Huu mradi sio Leo wa Jana ...ni WA miaka na hautekelezeki. [emoji16][emoji16]
Sasa haukutekelezeka kwakuwa Jiwe alikuwa hataki maendeleo kaskazini..kwasasa ndio umerudi kwa kasi na unajengwa hivi karibuni[emoji2][emoji2]Huu mradi sio Leo wa Jana ...ni WA miaka na hautekelezeki. [emoji16][emoji16]
Mm pia najiulizaga sana kwanini wasijenge bonge la chuo au kama ni hivo chuo likiwa mwanza bad iwe ni mwanza univeslrsity na sio tawi la udsm,,, ukipata jibu la swali lako nitagHivi mi najiuliza ni Tanzania pekee ndio kinakuwa na branches ya vyuo au ni swala la dunia nzima
[emoji23][emoji23]kwa bongo bongo naona nyingine ni mbinu ya upigajiMm pia najiulizaga sana kwanini wasijenge bonge la chuo au kama ni hivo chuo likiwa mwanza bad iwe ni mwanza univeslrsity na sio tawi la udsm,,, ukipata jibu la swali lako nitag