Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kumbe haujui hata maaana ya daladala [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kutoka sokoni 1 kwenda usa river unapita mashamba mangapi[emoji1787][emoji1787]
Kumbe ni wanasafir kabisa na tiket wanapewa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Deal done
Ukiona mji unaokaa hauna international logistics agency huo mji Hilo ni zizi [emoji16][emoji16][emoji16]
20230707_094542.jpg
 
Habari zenu wanajamvi kiufupi mi ni mgeni hapa ila hili jambo ni kama silifurahii sana, Hivi ni kwanini watanzania mmeamua kutambiana kuhusu sehemu moja dhidi ya nyingine, ukiangalia karibu 90% ya tunavyotambiana ni Government implementation ni vitu ambavyo havihamliwi na wakazi wa sehemu husika bali ni mpaka serikali ihamue,mi nafikiri tujikite katika kuleta hoja za kuikumbusha na kuishauri serikari kuhusu mambo ambayo yakifanyika mji fulani yataleta mchango mkubwa katika eneo husika, tukiendelea na mada hizi itafika mahali watu wasehemu moja watahisi wenzao wasehemu nyingine wanapendelewa zaidi kumbe hata hao tunaoona wanapendelewa nao bado wapo kwenye safari ya kujikomboa mwishowe chuki zitaanza kidogokidogo mwisho tutaingia kwenye kubaguana, Napendekeza hizi battle za majiji na miji ziishe tulete uzi za kuzikumbusha mamlaka zituletee miundombinu itakayotusukuma mbele! Naomba kuwasilisha!
 
Bora urudi ulikotoka
 
Hamna kutambiana Bali ni kujifurahisha tu
 
Huu mradi sio Leo wa Jana ...ni WA miaka na hautekelezeki. [emoji16][emoji16]
Sasa haukutekelezeka kwakuwa Jiwe alikuwa hataki maendeleo kaskazini..kwasasa ndio umerudi kwa kasi na unajengwa hivi karibuni[emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom