Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hayo matumiz makubwa ya umeme yatatoka wapi wakati Mwanza unapata umeme kwa masaa hivyo viwanda vya mwanza vitatumia umeme gani kila siku umeme hamna toka mwaka 2021.
 
Hayo matumiz makubwa ya umeme yatatoka wapi wakati Mwanza unapata umeme kwa masaa hivyo viwanda vya mwanza vitatumia umeme gani kila siku umeme hamna toka mwaka 2021.
Wapi ambako umeme uko full hauko Kwa masaa? Acha visingizio wewe.

Hivi Bado GGM hajaunganishwa na grid ya Taifa? Mbona kama Geita Hakuna kitu?
 
Kwann nihangaike na Takwimu uchwara ambazo zinafanywa kufrahisha kikundi flani cha watu, umewah fika UDOM? Pale wanafunz wengi ni Wasukuma, nenda CBE
Sizitaki mbichi hizi when they are against your favor 🀣🀣🀣🀣
 
Wasomi wengi UDOM ni wasukuma, CBE wengi Lake Zone sina uhakika kwa UDSM na Vyuo Vingine
Inabadilisha nini kwenye takwimu ikiwa wanaoongoza Kwa uzazi mkubwa ni hao hao Wasukuma? Ndio maana hata shule mnaacha wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…