Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Toka mpate haka kajengo ni kama kipofu kaona mwezi, naona hii picha itaanza kupauka sio kwa kupostiwa huko.
πŸ˜‚πŸ˜‚ mko na hizo greenish view?
Kuna sehemu nilikuwa nimekaa ndio nikaona mpk jengo. Si kwamba nilifata jengo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ mko na hizo greenish view?
Kuna sehemu nilikuwa nimekaa ndio nikaona mpk jengo. Si kwamba nilifata jengo
Acha kulinganisha pori na green view ya the rock city.
 
Letenj na picha za kipindi cha kiangazi tuone kulivyopauka.
Kiangazi ndio tuko nacho sasa… Arusha haijawahi kupauka kisa kiangazi πŸ˜‚πŸ˜‚

The greenish is real bro πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Mji wa Mwanza unanijenga wenyewe na kwa kiasi kikubwa hakuna mkono sana wa serikali lakini bado inaipita Arusha kwa mbali.

Arusha inapata sana ufadhiri wa serikali kwa kisingizio ama kisa kuna utalii ndo utakuta kodi yetu nyingi inapelekwa Arusha, majumba makubwa ya kifahari, mahoteli na kumbi nyingi zinakimbizwa kule Ili uonekane mkubwa na umejengeka lakini Mwanza inajitegemea na inakua sana sana.
 
Wanapata kila kitu lakini bado wanachechemea mwendo wa kobe Depal
 
We cheka lakini dawa inakuingia taratibu😜😜😜😜, dondosha pic nikuwekee misumali.
Mimi nakuweka picha halisi nilizopiga na simu, wewe unaweka za google. Unaona utofauti huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…