Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

thechanzo-20231017-0002.jpg
 
Arusha hii hii ambayo haina stendi ndio inapendelewa lakini mwanza yenye stendi mbili mpya, daraja la jpm na sgr inajijenga yenyewe sio nyie watu wa ziwani mnashida sana
Mkuu sgr inapita mikoa yote sio Mwanza tu, Mwanza toka uhuru mpka 2015 ilijijenga yenyewe, Mwanza imekuna kupata miradi awamu ya Magufuli lakin sasa Mwanza imerudi kipindi chake chakupambania komne bila mbeleko, kila fursa, miradi inapelekwa Dar, Arusha na dodom kama zamani
 
Hiyo drone ya mwanza inaonesha giza tupu! Acha utani bhana! Mwanza ipe heshima yake kaka! Endelea kujifariji!
Heshima gani? Hilo jambo halihitaji ubishi ,Arusha magorofa 7,000 Mwanza 4,000 Sasa Kuna heshima gani mnataka?
 
Mbona hapo hamna usawa, video ya mwanza picha mpauko, alafu ni ya mwaka 2005 kabla ya uwanja wa nyamagana kuwekwa nyasi, kipindi hicho magorofa na view ya mwanza haikuwa hot kama sasa, na Arusha umeweka video ya wakati huu, je hii ni sawa?
Weka video ya Mwanza nzuri basi
 
Back
Top Bottom