Hadi ijengwe sio leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ijengwe mara ngapi? Unajua kusoma?Hadi ijengwe sio leo
Mkuu sgr inapita mikoa yote sio Mwanza tu, Mwanza toka uhuru mpka 2015 ilijijenga yenyewe, Mwanza imekuna kupata miradi awamu ya Magufuli lakin sasa Mwanza imerudi kipindi chake chakupambania komne bila mbeleko, kila fursa, miradi inapelekwa Dar, Arusha na dodom kama zamaniArusha hii hii ambayo haina stendi ndio inapendelewa lakini mwanza yenye stendi mbili mpya, daraja la jpm na sgr inajijenga yenyewe sio nyie watu wa ziwani mnashida sana
Kama godown 😁😁Hilo jengo ni billion 7
Kubwa ila hovyo tuu.uKitaka kujua mwanza kubwa angalia kila siku ni watu kiasi gani huingia mwanza ni tofauti na arusha maana kanda ya ziwa karibia yote inategemea mwanza kwa asilimia 68% ambapo ni tofauti na arusha
Kubwa ila hovyo tuu.
Arusha
View: https://youtu.be/dv7dEaLgnf0?si=1Tt4YYsdD8mCjJxk
Mwanza
View: https://youtu.be/VjLvoKDIHZc?si=_P100mILuss2AMxo
Mwanza ni kituko,umeona ma slums yalivyojaa 😂😂😂Wacha tucheke tu😄😄
Hii ndio mwanza wanayoisifiaga
Hiyo drone ya mwanza inaonesha giza tupu! Acha utani bhana! Mwanza ipe heshima yake kaka! Endelea kujifariji!Mwanza ni kituko,umeona ma slums yalivyojaa 😂😂😂
Heshima gani? Hilo jambo halihitaji ubishi ,Arusha magorofa 7,000 Mwanza 4,000 Sasa Kuna heshima gani mnataka?Hiyo drone ya mwanza inaonesha giza tupu! Acha utani bhana! Mwanza ipe heshima yake kaka! Endelea kujifariji!
Kubwa ila hovyo tuu.
Arusha
View: https://youtu.be/dv7dEaLgnf0?si=1Tt4YYsdD8mCjJxk
Mwanza
View: https://youtu.be/VjLvoKDIHZc?si=_P100mILuss2AMxo
Hakuna usawa hapo video ya mwanza ipo ovyo na ya Arushs ipo clear na video effects kibaoWacha tucheke tu😄😄
Hii ndio mwanza wanayoisifiaga
Wewe ni jinga sana ngoja niweke video ya Mwanza then linganisha na arushaHeshima gani? Hilo jambo halihitaji ubishi ,Arusha magorofa 7,000 Mwanza 4,000 Sasa Kuna heshima gani mnataka?
Weka video ya Mwanza nzuri basiMbona hapo hamna usawa, video ya mwanza picha mpauko, alafu ni ya mwaka 2005 kabla ya uwanja wa nyamagana kuwekwa nyasi, kipindi hicho magorofa na view ya mwanza haikuwa hot kama sasa, na Arusha umeweka video ya wakati huu, je hii ni sawa?
😆😆😆😆😆😆Wewe ni jinga sana ngoja niweke video ya Mwanza then linganisha na arusha
Sehemu gani hakuna slumMwanza ni kituko,umeona ma slums yalivyojaa 😂😂😂