Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Nitakuja kuangalia ngegere wa ngorongoro.Si ukatafute uliko zaliwa..
karibu chugga uje kutalii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakuja kuangalia ngegere wa ngorongoro.Si ukatafute uliko zaliwa..
karibu chugga uje kutalii
Toka mpate haka kajengo ni kama kipofu kaona mwezi, naona hii picha itaanza kupauka sio kwa kupostiwa huko.
😂 karibu tukapate upepo Arusha NPNitakuja kuangalia ngegere wa ngorongoro.
Alafu nilitaka kusahau hako kajengo kamezungukwa na mapori sijui kuna hifadhi ya wanyama pori hapo.
😂😂 mko na hizo greenish view?Toka mpate haka kajengo ni kama kipofu kaona mwezi, naona hii picha itaanza kupauka sio kwa kupostiwa huko.
😂😂 pole sana.Alafu nilitaka kusahau hako kajengo kamezungukwa na mapori sijui kuna hifadhi ya wanyama pori hapo.
Letenj na picha za kipindi cha kiangazi tuone kulivyopauka.😂 karibu tukapate upepo Arusha NPView attachment 2779933
Acha kulinganisha pori na green view ya the rock city.😂😂 mko na hizo greenish view?
Kuna sehemu nilikuwa nimekaa ndio nikaona mpk jengo. Si kwamba nilifata jengo
Kiangazi ndio tuko nacho sasa… Arusha haijawahi kupauka kisa kiangazi 😂😂Letenj na picha za kipindi cha kiangazi tuone kulivyopauka.
Lete picha, acha manenoAcha kulinganisha pori na green view ya the rock city.
Huwa sina maneno, lakini naona unataka kudandia mtumbwi wa vibwengo.Lete picha, acha maneno
Lete vitu nikuwekeee moto.Lete picha, acha maneno
We cheka lakini dawa inakuingia taratibu😜😜😜😜, dondosha pic nikuwekee misumali.
Wanapata kila kitu lakini bado wanachechemea mwendo wa kobe DepalMji wa Mwanza unanijenga wenyewe na kwa kiasi kikubwa hakuna mkono sana wa serikali lakini bado inaipita Arusha kwa mbali.
Arusha inapata sana ufadhiri wa serikali kwa kisingizio ama kisa kuna utalii ndo utakuta kodi yetu nyingi inapelekwa Arusha, majumba makubwa ya kifahari, mahoteli na kumbi nyingi zinakimbizwa kule Ili uonekane mkubwa na umejengeka lakini Mwanza inajitegemea na inakua sana sana.
Sio pori ni uwanja wa golf wa GymkanaAlafu nilitaka kusahau hako kajengo kamezungukwa na mapori sijui kuna hifadhi ya wanyama pori hapo.
Mimi nakuweka picha halisi nilizopiga na simu, wewe unaweka za google. Unaona utofauti huo?We cheka lakini dawa inakuingia taratibu😜😜😜😜, dondosha pic nikuwekee misumali.
Mwambie huyo msukuma he knows nothingKiangazi ndio tuko nacho sasa… Arusha haijawahi kupauka kisa kiangazi 😂😂
The greenish is real bro 😃😃