Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)


Pumba ya mwaka
 
Pumba ya mwaka
Kumbe mtu mwenyewe wa hivyo! Na una harufu za ukanda na ukabila kwa kitupi kabisi una ka ubaguzi. Mtu kama wewe huwa hanipotezeagi mda wangu, wewe mwenye kujua sana endelea na thread mkuu
 
Mashindano yapi wakati jiji la Mwanza limebakia na slums kibao wakati Arusha wakihimarika kama jiji?
 
uKitaka kujua mwanza kubwa angalia kila siku ni watu kiasi gani huingia mwanza ni tofauti na arusha maana kanda ya ziwa karibia yote inategemea mwanza kwa asilimia 68% ambapo ni tofauti na arusha
 
Arusha hii hii ambayo haina stendi ndio inapendelewa lakini mwanza yenye stendi mbili mpya, daraja la jpm na sgr inajijenga yenyewe sio nyie watu wa ziwani mnashida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…