Ikulu T
JF-Expert Member
- Aug 21, 2023
- 1,600
- 4,714
Mji wa Mwanza unanijenga wenyewe na kwa kiasi kikubwa hakuna mkono sana wa serikali lakini bado inaipita Arusha kwa mbali.
Arusha inapata sana ufadhiri wa serikali kwa kisingizio ama kisa kuna utalii ndo utakuta kodi yetu nyingi inapelekwa Arusha, majumba makubwa ya kifahari, mahoteli na kumbi nyingi zinakimbizwa kule Ili uonekane mkubwa na umejengeka lakini Mwanza in
Pumba ya mwakaMji wa Mwanza unanijenga wenyewe na kwa kiasi kikubwa hakuna mkono sana wa serikali lakini bado inaipita Arusha kwa mbali.
Arusha inapata sana ufadhiri wa serikali kwa kisingizio ama kisa kuna utalii ndo utakuta kodi yetu nyingi inapelekwa Arusha, majumba makubwa ya kifahari, mahoteli na kumbi nyingi zinakimbizwa kule Ili uonekane mkubwa na umejengeka lakini Mwanza inajitegemea na inakua sana sana.